Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU yaombea uchaguzi wa amani

BALOZI wa Jumuiya ya Ulaya, Filberto Cerian Sebregondi amezitaka taasisi zinazoshughulikia uchaguzi mkuu kuhakikisha unafanyika katika mazingira ya haki na kufuata demokrasia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

9 years ago

Habarileo

JK asisitiza uchaguzi wa amani

TANZANIA imeendelea kusisitiza kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi, Madiwani na Masheha unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu utafanyika kwa amani na utulivu ambapo Watanzania watakuwa na uhuru wa kupiga kura bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka uchaguzi wa amani

WAKATI wananchi wa kata 27 kutoka halmashauri mbalimbali nchini wakisubiri kupiga kura Jumapili ijayo kuwachagua madiwani wa kata zao, taarifa za kuwepo kwa vurugu kwenye kampeni hizo zinasikika na kusababisha...

 

9 years ago

Michuzi

NITASHIRIKI UCHAGUZI KWA AMANI

 Wanahabari wakimsikiliza Mkurugenzi  Mtendaji wa Baraza la Dini Mbalimbali la Amani  Tanzania  Thomas Godda  juu ya kuwahimiza wanachi kwenda kupiga kura kwa amni  na kumchanguwa kiongozi bora leo jiji Dar es Salaam    Mkurungenzi  Mkuu wa Global Peace Foundation Tanzania Martha Nghambi juu ya wananchi kupiga kula kwa amani nautulivu  na  kujitokesa kwa wingi  siku ya kupiga kula kikao hicho kimefanyika  leo Jiji Dar es SalaamMkurugenzi  Mtendaji wa Baraza la Dini Mbalimbali la Amani...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunawatakia uchaguzi wa amani na utulivu

JUMAPILI ijayo, Watanzania watafanya uamuzi wa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wahimiza uchaguzi wa amani

JESHI la Polisi nchini limehimiza wananchi kuhakikisha wanashiriki katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu kwa amani na utulivu.

 

9 years ago

Michuzi

KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI

WATANZANIA wametakiwa  kuendelea kudumisha amani hasa kipindi  cha uchaguzi kwani bado nchi yetu inasifika kwa amani dunia kotekauli hiyo imetolewa na  mwanaharakati wa amani Mhonda Joseph wakati akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam.


Mhonda amesema wananchi wahakikishe  amani inakuwepo  na hata  wageni wanaoishi hapa  kutokana na historia ya miaka ya nyuma  ya hapa nchini kuwa ya amani.
Aidha  amewataka watanzania wasikubali  baadhi ya watu  wachache kuja kuchochea utovu wa...

 

9 years ago

Habarileo

Dk Shein: Uchaguzi utakuwa wa amani

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza serikali ina imani kuwa Zanzibar itakuwa katika utulivu na amani wakati wote wa uchaguzi kwa kuwa utafanyika kwa misingi ya uhuru na haki kwa mujibu wa sheria zilizopo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Afghanistan yafanya uchaguzi wa amani

Raia nchini Afghanistan wanasherehekea kile kinachoonekana kama uchaguzi wa urais wa amani licha ya vitisho vya kundi la Taleban.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani