Exclusive: Wafanyabiashara ndogo ndogo Posta mpya watwangana makonde ‘live’
Baadhi ya wafanyabiashara hao wadogowadogo wakiwa katika ugomvi huo ambao ulidumu zaidi ya dakika 10, huku kila mmoja akimshambulia mwenzake kwa kile kilichosemekana kugombea eneo la kupanga bidhaa zao hizo. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Ilala-Dar es Salaam) Wafanyabiashara wadogowadogo maarufu Machinga asubuhi ya leo wameweza kusimamisha baadhi ya shughuli eneo la kituo cha mabasi cha Posta mpya baada ya kutokea ugomvi baina ya wao kwa wao...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
ESAURP yaandaa mafunzo kwa wafanyabiashara ndogo ndogo mkoani Mbeya
Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika (ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.(Picha Emanuel Madafa Mbeya wa JAMIIMOJABLOG).
Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika...
9 years ago
VijimamboTAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI (ESAURP)YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MKOANI MBEYA
Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika ( ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika mafunzo hayo ya siku tano yaliyolenga kuwapatia...
11 years ago
MichuziTANZANIA YAPIGA HATUA KATIKA UDHIBITI WA SILAHA NDOGO NDOGO NA NYEPESI
Imeelezwa kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na tatizo la uzagaaji wa silaha ndogo ndogo na nyepesi kutokana na nchi nyingine za Afrika kuja kujifunza jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw.Meshack Ndaskoi wakati akifungua semina ya jinsia na uthibiti wa silaha ndogondogo na nyepesi iliyofanyika katika chuo cha Taaluma...
11 years ago
Habarileo02 May
Dk Bilal afunda wafanyabiashara ndogo kemikali
BAADHI ya wafanyabiashara ndogo wametajwa kuchanganya kemikali na vyakula bila utaratibu hali inayodaiwa kuhatarisha afya za walaji wa vyakula hivyo.
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA NDOGONDOGO BAGAMOYO WAANZA KUTUMIA BANDARI NDOGO BAADA YA KUSUSIA KWA MUDA
WAFANYABIASHARA ndogondogo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani,wameanza rasmi kazi kwenye bandari ndogo wilayani hapa, baada ya kusimama kwa takribani miezi mitatu.
Hatua hiyo imetokana na Mkuu wa wilaya hiyo Zainab Kawawa kukaa nao pamoja na Maofisa wanaosimamia Bandari hiyo, kufanikiwa kumaliza tofauti hiyo, hatimae kuanza tena shughuli zao.
Akizunguma katika Bandari ndogo wilayani humo, Kawawa alisema kuwa kunyanyaswa kwa wafanyabiashara hao ni sawa na kumnyanyasa...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Waumini watwangana makonde msikitini
WAUMINI wa Kiislamu wanaoswali katika Msikiti wa Mji wa Zamani uliopo Mtaa wa Mji Mwema, wilayani Mpanda, wamepigana makonde ndani ya msikiti katika suala la kuamua nani awe imamu wa...
11 years ago
GPLSimba, Mbeya City watwangana makonde
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Chadema ngoma nzito,wafuasi watwangana makonde mahakamani
10 years ago
MichuziWAPIGA PICHA ZA PASSPORT MJINI MOSHI WATWANGANA MAKONDE
Video na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.