Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba, Mbeya City watwangana makonde

Na Richard Bukos, Mbeya
MABAUNSA wa Mbeya City na wa Simba, juzi Jumamosi walizichapa kavukavu kwenye mlango wa kubadilishia nguo wachezaji, baada ya Mbeya City kuwatuhumu Simba kufanya ushirikina kwa kumwaga dawa kwenye mlango wa kuingilia vyumbani. Katika sakata hilo lililotokea kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa katika mtanange wa Ligi Kuu Bara ulioisha kwa sare ya 1-1, mama mmoja mtu mzima… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waumini watwangana makonde msikitini

WAUMINI wa Kiislamu wanaoswali katika Msikiti wa Mji wa  Zamani uliopo Mtaa wa Mji Mwema, wilayani Mpanda, wamepigana  makonde ndani ya msikiti  katika suala la kuamua nani  awe imamu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema ngoma nzito,wafuasi watwangana makonde mahakamani

>Vurugu za aina yake zimezuka katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya watu wanaodhaniwa kuwa wanachama wa Chadema  kumzomea aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho,  Zitto Kabwe.

 

10 years ago

Michuzi

WAPIGA PICHA ZA PASSPORT MJINI MOSHI WATWANGANA MAKONDE

Wapiga picha katika eneo la Kilima cha Mawenzi wakioneshana uwezo wa kupigana masumbwi hata hivyo chanzo cha ugomvi huo hakikuweza kufahamika mara moja.
Video na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Wafanyabiashara ndogo ndogo Posta mpya watwangana makonde ‘live’

DSC_1999Baadhi ya wafanyabiashara hao wadogowadogo wakiwa katika ugomvi huo ambao ulidumu zaidi ya dakika 10, huku kila mmoja akimshambulia mwenzake kwa kile kilichosemekana kugombea eneo la kupanga bidhaa zao hizo. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Ilala-Dar es Salaam) Wafanyabiashara wadogowadogo maarufu Machinga  asubuhi ya leo wameweza  kusimamisha baadhi ya shughuli  eneo la kituo cha mabasi cha Posta mpya baada ya  kutokea ugomvi baina ya wao kwa wao...

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kuibomoa Mbeya City

Dar es Salaam. Simba imepanga kuibomoa Mbeya City baada ya kuanza harakati za kuwawania winga Deus Kaseke, beki Kenny Ally na mshambuliaji Paul Nonga wa timu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Mbeya City vitani

Mbeya City wataishusha Yanga katika nafasi ya pili kama wataibuka na ushindi leo dhidi ya Ashanti United kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, huku Simba wakiwa na kibarua kizito mbele ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City kuishtaki Simba

>Wakati Simba ikibainika kumsajili kinyemela  Saad Kipanga, Mbeya City imedai suala la mshambuliaji huyo litawafanya “kufikishana pabaya”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani