Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclussive Interview: Berry Black hajasikika kitambo, haya ndio mapya kutoka kwake…(+Video)

Ni muda sasa tangu kusikika kwa headlines za wasanii Berry Black & Berry White ambao walikuwa wakijulikana kama ‘2 Berry’ mara baada ya kuachia hit song ya ‘Na wewe tu’ waliyomshirikisha producer Shirko stori zikaenea kuwa wawili hao wametofautiana na hawafanyi tena kazi pamoja. Sasa hapa nakukutanisha na Berry Black ambaye anaeleza yote mwanzo mwisho […]

The post Exclussive Interview: Berry Black hajasikika kitambo, haya ndio mapya kutoka kwake…(+Video) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Berry Black Ft Alice & Digna – Mtuwaache

Berry Black

Hii ni video mpya ya msanii kutoka Zanzibar Berry Black amewashirikisha Alice & Digna wimbo unaitwa “Mtuwaache”. video imeongozwa na Pablo D360.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Dewji Blog

Haya ndio majimbo mapya 26 ya uchaguzi baada ya kugawanywa

lub

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva.

Majimbo 26 Mapya 13 JULAI 2015.pdf 

 

9 years ago

MillardAyo

Exclussive Interview na Mkenya aliyeitendea haki Hallo ya Adele – Dela

Nakukutanisha na mwimbaji Mkenya Dela aliyefanya Copy ya wimbo wa Adele-Hello kwa lugha ya Kiswahili ambao umempelekea kukamata Headlines nyingi ndani na nje ya Afrika Mashariki. Ukibonyeza Play hapa chini utaweza kuipata full exclussive Interview Na hii ndio Original song ya Adele-Hello Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Exclussive Interview na Mkenya aliyeitendea haki Hallo ya Adele – Dela appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Said Fella anawapoteza Baby J na Berry Black – AT

AT

Msanii wa muziki wa mduara AT, amezikandia jitihada za mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Said Fella za kuwachukua na kuwasimamia wasanii kutoka visiwani Zanzibar, Baby J na Berry Black kwa madai amechukua ili kuwapotezea muda.

AT

AT ambaye ameonesha dhahiri kutofurahishwa na mfumo wa muziki hapa Tanzania ambao kwa upande wake anaona unabana wasanii wa muziki kutoka Zanzibar, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa ni kuwanyonya na si kuwasaidia.

“Mtu anawachukua wasanii wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Haya ndio matokeo ya Simba dhidi ya Jamuhuri kutoka uwanja wa Amaan Zenji …

Bado michuano ya Kombe la Mapinduzi inaendelea visiwani Zanzibar, baada ya jioni ya January 4 kupigwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU ya Unguja, usiku wa January 4 ukapigwa mchezo wa pili wa Kundi A kati ya Simba ya Dar Es Salaam na Jamuhuri ya Pemba. Mchezo […]

The post Haya ndio matokeo ya Simba dhidi ya Jamuhuri kutoka uwanja wa Amaan Zenji … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Fella aeleza kwanini amemshauri Berry Black kuhamia Dar

f_13

Meneja wa Mkubwa na Wanae, TMK Wanaume Family pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema amemshawishi msanii wake mpya Berry Black kutoka Zanzibar na kuhamia Dar es salaam ili kuwa karibu na vyombo vya bahari.
f_13

Mkubwa Fella, ameiambia Bongo5 kuwa uwamuzi wa Berry Black kuishi Dar, kutamsaidia msanii huyo kusambaza kazi zake vizuri kwa kuwa yupo karibu na vituo vya habari.

“Muziki ni popote lakini tatizo ni usambazaji, ndo maana tukaamua ahamie hapa Dar ili tuweze kusambaza kazi zake hata...

 

9 years ago

MillardAyo

Haya ndio maswali yaliyomkera Van Gaal na kuondoka katika mkutano na waandishi (+Video)

Kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal tayari anaonekana kukosa raha juu ya headlines za maisha yake ndani ya Man United, licha ya kuwa ni tetesi kuhusu koch huyo kuwa hatiani kufukuzwa ila kuna kila dadlili ya uongozi wa Man United kumfuta kazi wakati wowote kuanzia sasa na nafasi yake kupewa Jose Mourinho. […]

The post Haya ndio maswali yaliyomkera Van Gaal na kuondoka katika mkutano na waandishi (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani