Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exim yapata faida bil. 20/-

BENKI ya Exim imepata faida ya sh bilioni 20 kabla ya kodi hadi kuishia Desemba mwaka jana, ikionyesha ongezeko la asilimia 21 kutoka sh bilioni 16.5 iliyopatikana mwaka juzi. Mizania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Exim yapata faida kabla ya kodi ya asilimia 9 katika robo ya tatu 2014

EXIM Q3 PIX 1

Meneja Fedha Mwandamizi  Benki ya Exim, Bw. Issa Hamisi (wapili kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya utendaji wa kifedha wa benki hiyo katika robo ya tatu ya mwaka ambapo faida ya benki ya kabla ya kodi imekua kwa asilimia 9  mpaka shilingi bilioni 5.4 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka jana, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Benki, Bw. George Binde, Mkuu wa Hazina,  Bw. George Shumbusho (wapili kushoto) Meneja Utafiti na Chambuzi za...

 

10 years ago

Michuzi

FAIDA BENKI YA EXIM YAKUA KWA ASILIMIA 69

 Afisa Mkuu wa Fedha wa benki ya Exim Tanzania Bw. Selemani Ponda (katikati)akisisitiza jambo  mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa taarifa ya mapato ya benki hiyo katika kipindi cha robo mwaka kilichoisha mwezi Juni mwaka huu. Wengine ni Naibu Afisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo Bw. Issa Hamisi (wa kwanza kushoto) na Meneja Mwanadamizi wa utafiti na uchambuzi wa biashara wa benki hiyo Bw. Joseph Mrawa (wa kwanza  kulia)Afisa Mkuu wa Fedha wa benki ya Exim...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza ongezeko la asilimia 35 la faida ya kabla ya kodi

 Kaimu Afisa Mkuu wa fedha wa benki ya Exim Tanzania Bw. Issa Hamisi (wa kwanza kutoka kulia) akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari  wakati akitoa  taarifa ya mapato ya mwaka 2014 ya benki ya hiyo jana jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa kitengo cha rasilimali watu wa benki hiyo , Frederick Kanga (wa pili kulia) na Mkaguzi mkuu wa ndani wa hesabu za benki hiyo, George Binde (kushoto) . Meneja Mwandamizi utafiti na Uchambuzi wa Biashara wa Benki ya Exim...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatambulisha Kadi ya Faida EMV kuwezesha miamala salama

 Mkuu wa Hazina wa Benki ya Exim, George Shumbusho, akikata utepe kutambulisha kadi ya “Faida EMV Debit Card” itakayochukua nafasi ya “Magnetic Stripe Faida Debit Card” iliyokua ikitumika hapo awali. Ameambatana na Mkuu wa Kitengo cha kudhibiti majanga wa Benki ya Exim, David Lusala (kulia) na Afisa masoko wa benki hiyo, Noel Tuga.  Kadi hiyo hutoa usalama wa hali ya juu kutokana na uwepo wa ‘embedded chip’ inayodadavua taarifa za mteja kwa kutumia mfumo madhubuti wa kiusalama hivyo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Facebook yapata faida kubwa

Facebook imeandikisha faida kubwa ya dola $891m kati ya mwezi Julai na Septemba.

 

10 years ago

Mwananchi

DTB yapata faida Sh20 bilioni

Benki ya Diamond Trust (DTB) imepata faida ya Sh20 bilioni kabla ya kodi kwa hesabu za mwaka 2014, ikiwa ni ongezeko la asilimia 25 ikilinganishwa na mwaka 2013.

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yapata Faida shilingi bilioni 77

Mkurugenzi  Mtendaji  wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni maalumu kuhamasisha matumizi ya kadi zake mpya za ‘Faida’.

BENKI ya EximTanzania imezindua kampeni inayolenga kuwahamasisha wateja wake juu ya matumizi ya kadi zake mpya za  ‘Faida Chip and PIN Debit card’ ambazo zimeundwa  kwa kuzingatia vigezo vya kiusalama zaidi.
Kwa mujibu wa Meneja Bidhaa wa benki hiyo Bw. Aloyce Maro hatua hiyo ni sehemu ya jitiahada za benki hiyo kuhakikisha kwamba huduma zake zinatolewa kwa uhakika na usalama zaidi kwa faida ya wateja wake.
“Lengo kubwa la kampeni hii ni kuwahamasisha wateja wetu juu ya matumizi ya kadi zetu...

 

10 years ago

GPL

NMB YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 77‏

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani