Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Facebook yapata faida kubwa

Facebook imeandikisha faida kubwa ya dola $891m kati ya mwezi Julai na Septemba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA INAYOENDESHWA NA UTT AMIS YAPATA FAIDA KUBWA

Afisa Mwendeshaji Mkuu wa UTT AMIS Bw.Simon Migangala akiongea na waandishi wa habari jana Dar es salaam kuhusiana na ufanisi wa mifuko kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
UTT AMIS ndiyo waendeshaji na waanzilishi wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini.Mpaka sasa wanaendesha mifuko mitano ya uwekezaji ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa wekeza Maisha,Mfuko wa Watoto, Mfuko wa Kujikimu na Mfuko wa Ukwasi yenye zaidi ya shilingi bilioni 227.
Bwana Migangala aliwaambia waandishi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Exim yapata faida bil. 20/-

BENKI ya Exim imepata faida ya sh bilioni 20 kabla ya kodi hadi kuishia Desemba mwaka jana, ikionyesha ongezeko la asilimia 21 kutoka sh bilioni 16.5 iliyopatikana mwaka juzi. Mizania...

 

9 years ago

Michuzi

NMB Yapata Faida shilingi bilioni 77

Mkurugenzi  Mtendaji  wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas.

 

10 years ago

Mwananchi

DTB yapata faida Sh20 bilioni

Benki ya Diamond Trust (DTB) imepata faida ya Sh20 bilioni kabla ya kodi kwa hesabu za mwaka 2014, ikiwa ni ongezeko la asilimia 25 ikilinganishwa na mwaka 2013.

 

11 years ago

Michuzi

Swissport yapata ongezeko la faida kwa asilimia 17

 Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Swissport Tanzania Bw Gaudence Kilasara Temu akizungumza na wanahisa wa kampuni hiyo wakati wa mkutano wao Mkuu wa Mwaka uliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano jioni.  Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Swissport Tanzania Jeroen de Clercqakizungumza na wanahisa wa kampuni hiyo wakati wa mkutano wao Mkuu wa Mwaka uliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano jioni. Wapili kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya hiyo Bw Gaudence...

 

11 years ago

Mwananchi

BOA Tanzania yapata faida ya Sh5 bilioni

 Benki ya Afrika (BOA) imeongeza faida yake kwa asilimia 63 na kupata Sh5.4 bilioni mwaka 2013 kabla ya kodi, ikilinganishwa na faida ya Sh3.3 bilioni iliyopatikana mwaka 2012.

 

9 years ago

GPL

NMB YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 77‏

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas. ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Soko la hisa la Japan limepata faida kubwa

Soko hilo limesema kuwa faida hiyo imepanda kwa kiwango cha asilimia saba nukta saba

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB YAPATA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 15.9 KWA MWAKA UNAOISHIA DESEMBA 31,2019


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TPB Dk. Edmund Mndolwa,(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya kodi ya Sh.bilioni 15.9 kwa mwaka Desemba 2019.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Mushingi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Sabasaba Moshingi,(kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani