Swissport yapata ongezeko la faida kwa asilimia 17
![](http://3.bp.blogspot.com/-AuJ8qUUo8Jc/U2M-CSZSy6I/AAAAAAACgCA/sRYigtCBzdM/s72-c/Sw+1.jpg)
Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Swissport Tanzania Bw Gaudence Kilasara Temu akizungumza na wanahisa wa kampuni hiyo wakati wa mkutano wao Mkuu wa Mwaka uliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano jioni.
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Swissport Tanzania Jeroen de Clercqakizungumza na wanahisa wa kampuni hiyo wakati wa mkutano wao Mkuu wa Mwaka uliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano jioni. Wapili kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya hiyo Bw Gaudence...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pMfPy2FU3no/VQZwAc7lzNI/AAAAAAAC1m0/xkIaYGnP6g0/s72-c/Swiss%2BPix%2B1%2B(1).jpg)
Swissport yatangaza ongezeko la faida la asilimia 73
![](http://2.bp.blogspot.com/-pMfPy2FU3no/VQZwAc7lzNI/AAAAAAAC1m0/xkIaYGnP6g0/s1600/Swiss%2BPix%2B1%2B(1).jpg)
KAMPUNI ya Swissport Tanzania Plc imepata ongezeko la...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mKOLQoTLCAc/VTDNn_XoUxI/AAAAAAAC3OU/_SmW_HWwDEc/s72-c/FR%2BPIX%2B1.jpg)
Benki ya Exim yatangaza ongezeko la asilimia 35 la faida ya kabla ya kodi
![](http://1.bp.blogspot.com/-mKOLQoTLCAc/VTDNn_XoUxI/AAAAAAAC3OU/_SmW_HWwDEc/s1600/FR%2BPIX%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-F6AlFfFcICo/VTDNoA_IAjI/AAAAAAAC3Oc/uLE3nbBnbDo/s1600/FR%2BPIX%2B2%2B.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Benki ya Exim yapata faida kabla ya kodi ya asilimia 9 katika robo ya tatu 2014
Meneja Fedha Mwandamizi Benki ya Exim, Bw. Issa Hamisi (wapili kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya utendaji wa kifedha wa benki hiyo katika robo ya tatu ya mwaka ambapo faida ya benki ya kabla ya kodi imekua kwa asilimia 9 mpaka shilingi bilioni 5.4 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka jana, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Benki, Bw. George Binde, Mkuu wa Hazina, Bw. George Shumbusho (wapili kushoto) Meneja Utafiti na Chambuzi za...
11 years ago
Mwananchi05 May
Sekta ya anga yawapa faida Swissport
9 years ago
MichuziFAIDA BENKI YA EXIM YAKUA KWA ASILIMIA 69
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Chunya yapata maji kwa asilimia 67
SERIKALI imesema upatikanaji wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri, alitoa kauli...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kMl7ZdW8t7c/Xt5M7ltBHLI/AAAAAAALtFk/buKR_gZj5_0lWt9yJNXvHtOXiCuq5_SNwCLcBGAsYHQ/s72-c/MNDOLWA.jpg)
BENKI YA TPB YAPATA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 15.9 KWA MWAKA UNAOISHIA DESEMBA 31,2019
![](https://1.bp.blogspot.com/-kMl7ZdW8t7c/Xt5M7ltBHLI/AAAAAAALtFk/buKR_gZj5_0lWt9yJNXvHtOXiCuq5_SNwCLcBGAsYHQ/s640/MNDOLWA.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TPB Dk. Edmund Mndolwa,(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya kodi ya Sh.bilioni 15.9 kwa mwaka Desemba 2019.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Mushingi.
![](https://1.bp.blogspot.com/-zfrA-m7zVCg/Xt5M7xbaz1I/AAAAAAALtFs/4U9hOY_xFP0Wbow9jw7ow6sQymqHW-URgCLcBGAsYHQ/s640/MOSHINGI.jpg)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Sabasaba Moshingi,(kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya ...
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Ongezeko la ndege lazaa faida
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Exim yapata faida bil. 20/-
BENKI ya Exim imepata faida ya sh bilioni 20 kabla ya kodi hadi kuishia Desemba mwaka jana, ikionyesha ongezeko la asilimia 21 kutoka sh bilioni 16.5 iliyopatikana mwaka juzi. Mizania...