EXTRA BONGO YAWAKUTANISHA MAFAHARI WATATU MKESHA WA KRISMAS MEEDA
Mwijuma Mumini akiwajibika jukwaani na Bendi ya Extra Bongo kwenye mkesha wa Krismas ndani ya Ukumbi wa meeda Usiku wa kuamkia leo,ambapo bendi hiyo ilikuwa ikifanya makamuzi yake na yeye akiwa ni moja ya watumbizaji. Wacheza shoo wa kiume wa Bendi ya Extra Bongo,wakiwajibika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salam,katika mkesha wa Krismas.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Mafahari Watatu ndani ya Extra Bongo
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level’ imewarudisha kinyemela mafahari watatu waliowahi kutamba, Ally Choki, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ na Mwinjuma Muumini katika onesho la mkesha wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Extra Bongo, Yamoto ndani ya Meeda
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kimbembe’, Jumamosi hii itaungana na kundi la Yamoto linaloongozwa na Saidi Fela ‘Mkubwa Fela’ kuwasha moto wa burudani...
10 years ago
GPLEXTRA BONGO YARUDI UPYA, YATAMBULISHA WATATU WAPYA
10 years ago
Michuzi21 Dec
UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/38.jpg)
9 years ago
MichuziHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM WANAWAKE 12 WAPATA WATOTO MKESHA WA KRISMAS
Afisa Muuguzi Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwanne Satara akimsaidia kumuelekeza Lulu Mohamed namna ya kumfunika nguo Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia Krismas Dar es Salaam ambapo akinamama 12 walipata watoto na Mmoja wa akinamama hao alipata mapacha 2 na kufanya watoto wa kiume kufikia 6 na wakike 7, kati yao akinamama waliofanyiwa upasuaji ni akinamama 10 na kati ya hao watoto njiti 2 na Hospitali ya Temeke akina mama waliojifungua hospitalini hapo...
10 years ago
Michuzi21 Dec
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/38.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvF9Axv7IMTqNvNZOhRfE1wb4-n51-rbqtXYtGeZHJD8bNMckvf19tdu2k*3pafV0tQbMbHUdB8Gk167q1uW1S2/EXTRABONGO3.jpg?width=650)
EXTRA BONGO MZIGONI
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Muumini apagawisha Extra Bongo
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi, Muumini Mwinjuma, aliwapagawisha mashabiki wakati akiimbia bendi ya Extra Bongo katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi. Muumini alikuwa kivutio kikubwa pale alipoimba nyimbo zake...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHRc9kmhhf00Rvhmpy-0zoIS94zbcyrMesbd3szC9lqmHNr0W8IMf*HVreOTtUwNp-p3SqFPti89kXR0vt98cGV/banza.jpg?width=650)
BANZA AJISALIMISHA EXTRA BONGO