Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fahamu kwa undani sakata la kujiuzulu kwa rais wa Guatemala

Masaa machache baada ya rais wa Guatemala, Otto Perez Molina kujiuzalu, alitupwa jela kusubiri kesi yake ya upotevu wa fedha nyingi ambazo zimetikisha nchi hiyo kiuchumi na kanda nzima. Maamuzi hayo yalifikiwa baada ya maandamano ambayo yamekuwa yakifanywa toke mwezi wa nne wakimtaka aondoke madarakani na kushtakiwa kwa makosa ya rushwa kubwa. Kitu hicho ambacho […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Rais Ibrahim Boubacar Keïta: Maelfu ya waandamanaji watoa wito kwa rais wa Mali kujiuzulu

Muungano wa makundi ya upinzani umepiga kambi mjini Bamako ukitaka mabadiliko ya kisasa na na kiuchumi

 

9 years ago

Michuzi

Kujiuzulu kwa Makamu Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Kufuatia Uteuzi Mpya..


Ndugu Zangu Wana-DMV, Napenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha kwamba tarehe 14/9/2015, niliteuliwa rasmi kuwa makamu mwenyekiti wa African Affairs Advisory Group (AAAG) iliyopo chini ya serikali ya kata ya Montgomery, Maryland (Montgomery County). Nafasi hii inausika na nyanja zote za maswala ya wahamiaji toka barani Afrika hususani; elimu,uchumi,uhamiaji, afya, tamaduni, bajeti,sera na miswada itakayoboresha huduma za jamii kwa Waafrika. Kutokana na majukumu haya, nimejiuzulu katika nafasi...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

GPL

UNDANI POLISI KUJIUA KWA RISASI

Na Francis Godwin, Iringa JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limeanza uchunguzi kujua chanzo cha askari wake wa upelelezi, Paschal Shila (pichani)kujiua kwa kujipiga risasi muda mfupi baada ya kudanganya kuna sehemu kulikuwa na uhalifu hivyo kukabidhiwa bunduki huku akiwa ametoka kugombana na mke wake. Askari huyo ambaye kabla ya kutoka katika ghala la silaha, alitoroka wenzake ambao walipaswa kwenda naye kwenye kazi siku hiyo na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mfahamu kwa Undani Muigizaji ‘ODAMA’

Anaitwa Jennifer Kyaka, ila wengi wamezoea kumuita ODAMA, jina ambalo liliibuka kwenye movie ya Odama aliyoigiza, ambapo yeye alicheza kama mhusika mkuu. Alizaliwa mnamo mwaka 1983 jijini Mwanza katika Hospital ya Bugando.

Safari yake ya sanaa ilianza mnamo mwaka 2006, na movie yake ya kwanza kuigiza ilikuwa inaitwa SHUMILETA, Movie iliyoandaliwa na producer na director maarufu nchini, Mussa Banzi, watu wengi walianza kumfahamu kwenye movie hiyo ya kutisha aliyocheza kama Monte.

Movie ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mjue kwa undani Maya Dela Rosa nyota wa uigizaji

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, leo hatutakuwa na masimulizi ya Tamthiliya ya Be Careful With My Heart. Badala yake tutangalia wasifu wa mhusika mkuu katika tamthiliya hiyo, Jodi Santamaria ambaye anafahamika kama Maya dela Rosa.

 

10 years ago

Vijimambo

WAJUE KWA UNDANI WAGOMBEA WATANO WALIOPITISHWA NA KAMATI KUU (CC)


1: BENARD MEMBE

Benard Kamillius Membe ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi na ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, alizaliwa tarehe 09 Novemba 1953, katika Kijiji cha Rondo-Chiponda, Wilaya ya Lindi Vijijini.
Membe ana shahada ya kwanza ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma na ana shahada ya umahiri ya Uhusiano wa Kimataifa.

Membe aliajiriwa kwenye Ofisi ya Rais na kufanya kazi kwa miaka 6 kabla hajaanza shahada ya kwanza na baadaye alirudi vyuoni kusoma na kuhitimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani