Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faith Evans ana imani kesi ya mauaji ya Notorious B.I.G itafunguliwa tena

faith-evans

Faith Evans amedai anaamini kuwa siku moja kesi ya mauaji ya rapper Notorious B.I.G itafunguliwa tena.

faith-evans

Muimbaji huyo aliyeolewa na emcee huyo mzaliwa wa Brooklyn, ametaka kuwepo na msisitizo zaidi katika masuala ambayo hayakupatiwa majibu.

“Tunachoweza kufanya ni kuwa na imani kuwa hiyo itatokea,” Faith aliuambia mtandao wa The Huffington Post alipoulizwa kuhusu Biggie.

“Lakini tuna furaha tu kuwa tupo hapa kuitunza heshima yake na kuhakikisha kuwa watoto wake wana furaha na wanaishi maisha...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Faith Evans f/ — Missy Elliott and Sharaya J — I Deserve It

Faith Evans ameachia video ya wimbo wake ‘I Deserve It’ aliowashirikisha rappers wa kike, Missy Elliott na Sharaya J. Hii ni single ya kwanza kutoka kwenye album yake ya nane, Incomparable.

 

10 years ago

Michuzi

KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA

Na Daniel Mbega, Mwanza
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...

 

9 years ago

BBCSwahili

Museveni asema ana imani atashinda urais

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema wagombea urais wanaoshindana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao si tishio kwake.

 

10 years ago

Bongo5

Stereo adai ana imani AY na Unity Entertainment watamfikisha mbali

Rapper Stereo amedai anamtegemea zaidi bosi wake na AY kukamilisha ndoto zake za kujitangaza kimataifa na kufanya collabo na wasanii wa kimataifa na kwamba mafanikio aliyofikia sasa ni mchango mkubwa kutoka Unity Entertainment. Stereo amekiambia kipindi cha Bomba Base Show cha Bomba FM ya Mbeya kuwa kupitia AY na kampuni yake ameendelea kupata connection nyingi. […]

 

10 years ago

Michuzi

GABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akifikishwa mahakamani wakati wa hatua za awali za kesi hiyo. ------------------------Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta  mwenendo wa kesi ya mauaji iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini dhidi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, wanaohusishwa na kuporomoka kwa jingo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira Gandh na kuua watu 27...

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini rais Trump ana imani na dawa ya Hydrochloroquine 'kutibu' virusi vya corona?

Rais Trump anaamini kwamba dawa hii inaweza kuleta tofauti kubwa duniani katika vita dhidi ya virusi vipya vya ugonjwa wa corona katika mwili wa binadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’

>Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya raia eneo la Magomeni Mikumi, jijini Dar es Salaam, umekiri kuwa hauna ushahidi huru kwa baadhi ya washtakiwa katika kesi hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu

Rais Magufuli aliwaomba raia wa taifa hilo kutumia siku tatu kuanzia tarehe 17 hadi 19 Aprili 2020, kumuomba Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na janga la ugonjwa wa corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani