Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stereo adai ana imani AY na Unity Entertainment watamfikisha mbali

Rapper Stereo amedai anamtegemea zaidi bosi wake na AY kukamilisha ndoto zake za kujitangaza kimataifa na kufanya collabo na wasanii wa kimataifa na kwamba mafanikio aliyofikia sasa ni mchango mkubwa kutoka Unity Entertainment. Stereo amekiambia kipindi cha Bomba Base Show cha Bomba FM ya Mbeya kuwa kupitia AY na kampuni yake ameendelea kupata connection nyingi. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

AY awapa shavu wawili Unity Entertainment

MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya ‘AY’, amewapa shavu vijana wawili wenye vipaji vya kuimba na kuwaingiza kwenye ‘lebo’ yake ya Unity Entertainment. AY alifikia uamuzi wa kuwachukua...

 

9 years ago

BBCSwahili

Museveni asema ana imani atashinda urais

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema wagombea urais wanaoshindana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao si tishio kwake.

 

9 years ago

Bongo5

Faith Evans ana imani kesi ya mauaji ya Notorious B.I.G itafunguliwa tena

faith-evans

Faith Evans amedai anaamini kuwa siku moja kesi ya mauaji ya rapper Notorious B.I.G itafunguliwa tena.

faith-evans

Muimbaji huyo aliyeolewa na emcee huyo mzaliwa wa Brooklyn, ametaka kuwepo na msisitizo zaidi katika masuala ambayo hayakupatiwa majibu.

“Tunachoweza kufanya ni kuwa na imani kuwa hiyo itatokea,” Faith aliuambia mtandao wa The Huffington Post alipoulizwa kuhusu Biggie.

“Lakini tuna furaha tu kuwa tupo hapa kuitunza heshima yake na kuhakikisha kuwa watoto wake wana furaha na wanaishi maisha...

 

9 years ago

Bongo5

Irv Gotti adai Jay Z hakuwahi kuwa na imani na DMX

lplp

Producer wa Marekani, Irv Gotti aliyefahamika zaidi kwa lebo ya Murder Inc amedai kuwa wakati Jay Z alipokuwa rais wa Def Jam Recordings hakuwa na imani na DMX.

lplp

Amedai kuwa pamoja na maafisa wengi wa lebo hiyo kutomwamini DMX, aliuza zaidi kazi zake kuliko Jay Z na Ja Rule. Producer huyo amesema kwenye mkutano aliofanya nao walimcheka baada ya kupendekeza wamsainishe DMX.

Alisema hayo kwenye makala ya Complex, Jewels From Irv Gotti: How Def Jam, Jay Z, & Dame Dash Didn’t Believe In...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini rais Trump ana imani na dawa ya Hydrochloroquine 'kutibu' virusi vya corona?

Rais Trump anaamini kwamba dawa hii inaweza kuleta tofauti kubwa duniani katika vita dhidi ya virusi vipya vya ugonjwa wa corona katika mwili wa binadamu.

 

10 years ago

Bongo5

Mzee Chilo adai ugomvi wa Bongo Movie Unity unatokana na uchu wa madaraka

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema ungomvi unaotokea ndani ya Bongo Movie Unity unasababishwa na uchu wa madaraka. Chilo amesema hakuna chochote kinachogombaniwa zaidi ya madaraka ndani ya tasnia hiyo ambayo amedai imekosa ushirikiano. “Nimesikia mengi sana kuhusu bongo movie unity, sijui huyu kajiuzulu lakini niseme ukweli tatizo ni uchu wa madaraka,” ameiambia […]

 

9 years ago

Bongo5

Shaa adai ana video 3 alizoshoot nje tangu mwaka jana

Malkia wa Uswazi, Shaa, amesema tayari ameshashoot video 3 nje ya nchi toka mwaka jana na sasa hivi zinasubiri muda wake ili zitoke. Shaa ameiambia Bongo5 kuwa anajisikia fahari kuwa kati ya wasanii wa kwanza waliovuka boda na kufanya video. “Mimi kwenye video tena kwenye release zangu zinazofuata ambazo nimesha-shoot video tatu nje toka mwaka […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu

Rais Magufuli aliwaomba raia wa taifa hilo kutumia siku tatu kuanzia tarehe 17 hadi 19 Aprili 2020, kumuomba Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na janga la ugonjwa wa corona.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na viongozi mbali mbali ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akifuatana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani