Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FALSAFA MBADALA : Tuwekeze kwa wasomi au wabunifu?

Kwa wale wanaopenda kusoma historia ya maendeleo ya nchi mbalimbali duniani watagundua kuwa kuna tofauti kubwa kati ya wasomi na wabunifu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

FALSAFA MBADALA : Tuwachague kwa maneno yao au uwezo wao?-2

Hoja yangu tangu wiki iliyopita ni umuhimu wa kuchagua viongozi wenye uwezo na upeo wa kuona mbali, ili wasaidie kuleta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi badala ya wapiga porojo majukwaani.

 

10 years ago

Mwananchi

FALSAFA MBADALA: Kipaji chako ni ajira namba moja

TUNU muhimu za mafanikio ambazo Mungu amewekeza ndani ya kila mtu ni vipawa/talanta. Kwa bahati mbaya na pengine kwa kutojua umuhimu wa vipawa, watu wengi hawatilii maanani vipaji walivyonavyo.

 

11 years ago

Mwananchi

FALSAFA MBADALA: Waelimike mapema badala ya kuzaa mapema

Mimba kwa wasichana wadogo ni miongoni mwa sababu zinazowakatisha masomo wasichana wengi hapa Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Falsafa ya maisha ni janga sugu kwa wazawa

DHANA ya maisha ni pana sana, hadi inaleta ubishani kwa wanaojitahidi kufasiri dhana hiyo. Lakini ukweli ni kwamba kila mmoja hufasiri dhana hiyo kulingana na upeo wa maisha yake katika...

 

10 years ago

Mwananchi

BILIONEA : Hizi ni falsafa za kutajirika kwa ujasiriamali — 5

Mafanikio katika maisha siyo jambo jepesi ambalo linaweza kuja kimiujiza. Mara nyingi ni hatua ambayo inaanzia mbali ikiandamana na mipango, juhudi katika utekelezaji na hata kukabili vikwazo mbalimbali.

 

5 years ago

Michuzi

IKUNGI YATEMBEA NA FALSAFA YA RAIS JPM KWA ASILIMIA 100

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi mwenye miwani akizungumza na akina mama wafanya biashara ya viazi lishe wa Kitongoji cha Kideka kijiji cha Nkunikana kuhusu kuchukua tahadhari ya kujikinga na Corona-Covid 19,Pichaini kulia Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Edward Mpogolo kushoto Mkurugenzi Mtendaji Justice Kijazi


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi(mwenye miwani) akitoa maelekezo ya namna bora ya kufanya kazi katika kikundi kwa wakikundi cha Jitume Vijana chenye vijana...

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Tuwekeze katika michezo

Ni ndoto kwa Tanzania kufanya vizuri kwenye michezo kitaifa na kimataifa bila kuwekeza kwenye kukuza vipaji vya vijana kama ambavyo zimefanya nchi nyingine duniani.

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE: WASANII TUWEKEZE PSPF

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Stori: mwandishi wetu
MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewataka wasanii wa filamu na muziki nchini kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF ili kujiwekea akiba kuepuka maisha ya shida baada ya kuachana na shughuli wanazozifanya hivi sasa. “Wasanii wengi tunafanya kazi bila kujiwekea akiba kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waliofundishwa kwa Kiingereza ni wabunifu zaidi?

LUGHA ni msingi muhimu wa kuchochea maendeleo ya jamii yoyote. Mawasiliano ndiyo chimbuko la maarifa na taarifa. Binadamu anapata maarifa yanayomsaidia kuishi kwa kutumia lugha. Binadamu anapata taarifa na habari muhimu kuhusu jamii yake kutokana na lugha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani