Familia yataka ndoto za Mandela ziendelezwe
FAMILIA ya Nelson Mandela, Baba wa Taifa la Afrika Kusini, jana walitoa tamko kwa wananchi wa taifa hilo na dunia, kuisaidia familia hiyo kuendeleza ndoto za kiongozi huyo mashuhuri duniani.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo15 Oct
UNFPA yataka mtoto wa kike kushikilia ndoto
MWAKILISHI Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu UNFPA, Dk Natalia Kanem amewataka wasichana kushikilia ndoto zao pamoja na changamoto zinazojitokeza.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcpz-laNiDT8l5s60xpY2CI8eJ9wHi4PSiS*wtytk9V3yXywkrSIG1cXAaigtvSNj6DGkzD9LnyjYCwAuBztFDh-/MPASUKO.jpg?width=650)
MPASUKO FAMILIA YA MANDELA
11 years ago
Habarileo18 Dec
Ugomvi familia ya Mandela wafufuka
SIKU mbili baada ya maziko ya Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, ugomvi kati ya watoto na wajukuu wa shujaa huyo wa vita dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, umeibuka upya.
11 years ago
BBCSwahili07 Dec
Familia ya Mandela:'Ni kipindi kigumu'
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mzozo waibuka familia ya Mandela
![Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Mandela](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Winnie-Mandela.jpg)
Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Mandela
Mwandishi Wetu na Mashirika ya habari
MTALIKI wa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Winnie Mandela ameibuka na kutaka watoto wake wapewe nyumba yake iliyoko kijijini Qunu.
Hatua yake hiyo huenda ikazua mgogoro wa kwanza wa kisheria kuhusiana na mali za Nelson Mandela tangu alipoaga dunia mwaka jana.
Mawakili wa Winnie Madikizela-Mandela wamesema kudai nyumba hiyo ni haki yake ya kiutamaduni kwa vile aliwahi kuwa mke wa marehemu...
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Familia ya Nyerere yaenda Qunu kumzika Mandela
11 years ago
Habarileo10 Dec
Madaktari waliiambia familia asubuhi ‘Mandela anatutoka’
MADAKTARI waliokuwa wakimhudumia Rais mstaafu, Nelson Mandela siku ya mwisho wa maisha yake, walitoa tahadhari kwa familia kwamba alikuwa anaelekea kuiaga dunia.
9 years ago
Habarileo31 Aug
Shein ataka timu za watoto ziendelezwe
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amewataka wanamichezo nchini kujenga mapenzi baina yao ili kudumisha michezo kwa faida yao na taifa kwa ujumla. Dk Shein aliyaeleza hayo juzi alipokutana na wanamichezo mbalimbali katika hafla ya ugawaji wa vifaa vya michezo iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2xjDsWd1Ulk/Uw3nACVvonI/AAAAAAAAGxE/JrWbDTdRPnM/s72-c/written-budget.jpg)
Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2xjDsWd1Ulk/Uw3nACVvonI/AAAAAAAAGxE/JrWbDTdRPnM/s1600/written-budget.jpg)