Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Farah aaga mashindano ya Glascow kunani?

Bingwa na Olimpiki wa mbio za mita elfu tano na kumi kwa wanaume Mo Farah amejiondoa kutoka mashindano ya Jumuiya ya Madola kutokana na jeraha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MO FARAH AJITOA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA

Mo Farah amejiondoa katika michuano hiyo kwa kutokuwa fiti. MWANARIADHA wa Uingereza, Mo Farah, amejitoa katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyoanza jana mjini Glasgow, Scotland kutokana na kusumbuliwa na maradhi. Mjamaica Usain Bolt yeye atashiriki michuano hiyo. Mo amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa wiki za karibuni ila ataendelea kujifua kwa ajili ya michuano mingine ijayo.… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Cheyech ashinda dhahabu Glascow

Na kuinyakulia Kenya medali yake ya kwanza katika mashindano ya Jumuiya ya Madola

 

11 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Jumuiya ya Madola kuanza-Glascow

Mashindano ya Jumuiya ya Madola kufunguliwa rasmi hii leo mjini Glascow, Scotland na Malkia wa Uingereza

 

11 years ago

BBCSwahili

Mo Farah kushiriki 'Commonwealth'

Mo Farah amesema kuwa atashiriki michezo ya Jumuiya ya madola mwaka huu mjini Glasgow.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah avunja ukimya

Mwanariadha Mo Farah amewajibu wakosoaji wake kwa vitendo kwa mbio za mita elfu tano za Diamond na kuibuka kidedea .

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah kurejea michezoni

Mo Farah ametamka kuwa anarejea ulingoni kwa mara ya kwanza baada ya kuwepo kwa tuhuma za matumizi ya dawa za kusisimua misuli

 

11 years ago

BBCSwahili

Mo Farah hatoshiriki Glasgow

Mwanariadha Muingereza mwenye asili ya Kisomali amejiondoa kutoka kwa mashindano ya jumuiya ya Madola huko Glasgow

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeraha lililomhofisha sana Mo Farah

Mo Farah alikimbizwa hospitalini baada ya kuzimia wakati akifanya mazoezi.

 

11 years ago

BBC

Farah eighth in London Marathon

Kenyan athletes come first and second at the London marathon in both men's and women's races, with Mo Farah eight.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani