Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fedha chafu zinachochea uhalifu — Silima

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Perreira Ame Silima, amesema uwepo wa fedha chafu nchini umechangia kuendelea kukua kwa uhalifu. Kwa mujibu wa naibu waziri huyo, matendo hayo ya uhalifu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Msiwachague wanaotumia fedha chafu’

WATANZANIA wametakiwa kuwaadabisha kwa kutowachagua viongozi mafisadi wanaotaka kuingia madarakani kwa kutumia fedha chafu katika chaguzi zijazo. Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Madini nchini, Richard Kasesela wakati...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kashfa ya kasisi kujipa 'fedha chafu'

Kasisi mmoja mkuu nchini Italia, amefikishwa mahakamani kwa kosa la kujipatia mamilioni ya dola kwa njia haramu kupitia benki ya Vatican.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizi wa mtandaoni: Uhalifu mpya unaotishia miamala ya fedha

Miaka mitano iliyopita uhalifu wa mtandaoni haukuwapo. Hakuna aliyefahamu madhara yake moja kwa moja, kwa kuwa matukio mengi yalikuwa yanatokea nchi za Ulaya na Marekani na kidogo Kenya.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Silima: Ajali ni janga la taifa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imesema kwa sasa inawekeza zaidi katika mapambano dhidi ya ajali za barabrani kutokana na idadi kubwa ya Watanzania kupoteza maisha.
Imesema kwa sasa ajali zimekuwa janga la taifa kuliko hata ugonjwa wa Ukimwi, hivyo jitihada za haraka zinahitajika katika kudhibiti.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, aliyasema hayo  jana  alipokuwa akipokea hundi ya  sh. milioni 40 kutoka kwa Kampuni ya Puma, kwa ajili ya Maadhimisho ya Wiki ya Nenda  Usalama...

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Ubunge hautatokana na kiungo cha albino - Silima

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Perreira Ame SilimaWANASIASA wameambiwa kuwa ubunge hautatokana na kiungo cha albino na kuachana na fikra hizo potofu.

 

11 years ago

Michuzi

TUWAEPUSHE VIJANA WETU NA UHAFIDHINA- NAIBU WAZIRI SILIMA

 Na Mwandishi Maalum, New York  Wakati matukio ya kigaidi yakiendelea kuripotiwa karibu kutoka kila kona ya dunia. Tanzania imesema ipo haja ya msingi ya kitaifa na kimataifa ya kuwaepusha vijana hasa wale wasiokuwa na ajira kurubuniwa na kuwa wahafidhina.  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Pereira Silima (Mb) ameyasema hayo siku ya Jumatano hapa Umoja wa Mataifa, wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, lilipokutana kujadiliana kuhusu ...

 

5 years ago

CCM Blog

KATIBU WA NEC WA CCM, PEREIRA AME SILIMA AJITOSA URAIS ZANZIBAR


KATIBU wa NEC, Idara ya Oganaizesheni ya CCM Taifa, Pereira Ame Silima,Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ametimiza idadi ya wagombea 27


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani