Fedha za IPTL zilizotafunwa ni Sh bilioni 321
Benki Kuu ya Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu ukaguzi wa Akunti ya Tegeta Escrow na umiliki wa Kampuni ya IPTL iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwa wiki, imewaweka kitanzini vigogo wa serikali baada ya kubaini fedha zilizokuwa kwenye akaunti hiyo ni Sh bilioni 306 na zilitakiwa kurudishwa Tanesco.
Vyombo vya habari vilipoanza kuripoti uchotwaji wa fedha hizo Machi mwaka huu, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania24 Nov
Saa za waliochota Sh bil 321 IPTL zahesabika
![Abdulrahman Kinana](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Abdulrahman-Kinana.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kila aliyehusika katika kashfa ya uchotwaji wa Sh bilioni 321 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), abebe msalaba wake bila kujali cheo chake na kwamba muda wa kulindana umekwisha.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye walipokuwa wakihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ilulu...
10 years ago
KwanzaJamii10 Sep
IPTL yamdai Zitto bilioni 500/- kortini
11 years ago
Mwananchi12 May
CAG Utouh achunguza Sh200 bilioni za IPTL
11 years ago
Mwananchi14 Jul
IPTL yamtaka Kafulila kulipa fidia ya Sh310 bilioni
10 years ago
Mwananchi23 Dec
JK: Fedha za Tegeta Escrow ni za IPTL
11 years ago
Mwananchi10 May
Fedha za IPTL kaa la moto
10 years ago
Habarileo27 Nov
Bunge laelezwa ‘magunia’ yalivyobeba fedha IPTL
WATU mbalimbali na viongozi wa umma waliofaidika na fedha za akaunti ya Tegeta Escrow ya Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, wametakiwa kurejesha fedha hizo, kufilisiwa mali zao na kushitakiwa mahakamani.
11 years ago
Zitto Kabwe, MB29 Jun
Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma
Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma
![TWO-MBILI Courtesy:The Citizen](http://zittokabwe.files.wordpress.com/2014/06/tumbili.jpg?w=300&h=236)
TWO-MBILI
Courtesy:The Citizen
Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma
Zitto Kabwe
Kwa mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow Account’ si mali ya serikali na hivyo si mali ya umma....
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Matumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-
Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na kulia ni Ofisa Programu Dawati la Waangalizi Watendaji...