Saa za waliochota Sh bil 321 IPTL zahesabika
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kila aliyehusika katika kashfa ya uchotwaji wa Sh bilioni 321 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), abebe msalaba wake bila kujali cheo chake na kwamba muda wa kulindana umekwisha.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye walipokuwa wakihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ilulu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Nov
Fedha za IPTL zilizotafunwa ni Sh bilioni 321
![Benki Kuu ya Tanzania](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Bank-of-Tanzania.jpg)
Benki Kuu ya Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu ukaguzi wa Akunti ya Tegeta Escrow na umiliki wa Kampuni ya IPTL iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwa wiki, imewaweka kitanzini vigogo wa serikali baada ya kubaini fedha zilizokuwa kwenye akaunti hiyo ni Sh bilioni 306 na zilitakiwa kurudishwa Tanesco.
Vyombo vya habari vilipoanza kuripoti uchotwaji wa fedha hizo Machi mwaka huu, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),...
10 years ago
Habarileo10 Sep
IPTL yamdai Zitto fidia bil.500/-
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakimtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe awalipe fidia ya Sh bilioni 500 kutokana na kutoa kashfa dhidi yao.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Makamba: Waliochota Escrow wabanwe zaidi
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Siku za ‘wauza unga’ China zahesabika
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CrRqGVp-a7bEc3a6revE69TxfF8V6ONM7-VoI098y2TWtjfSPKhNixVIsCg*kXDOw9d5R02UBAFLswuhKsH7De*/ndauka.jpg?width=650)
NDOA YA ROSE NDAUKA SIKU ZAHESABIKA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Wo2b1qYU67I/Xo8AYnXi1wI/AAAAAAALmno/wKAEsKLbagoBpBwXu_E4lNbqRt4YQZbpACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-09%2Bat%2B12.53.07%2BPM.jpeg)
SIKU ZA WEZI WA MAGARI ZAHESABIKA, WAAGIZWA KUJISALIMISHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Wo2b1qYU67I/Xo8AYnXi1wI/AAAAAAALmno/wKAEsKLbagoBpBwXu_E4lNbqRt4YQZbpACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-09%2Bat%2B12.53.07%2BPM.jpeg)
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Kamanda...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
10 years ago
Michuzi02 Jul
9 years ago
Michuzi01 Nov