Fellipe Scorali afukuzwa kazi ya kuinoa timu ya Brazil
Kocha wa timu ya Taifa Brazil, Luiz Felipe Scolari amefukuzwa kazi ya ukocha katika kikosi hicho baada ya matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Dunia 2014. Shirikisho la Soka la Brazil (CBF) limetangaza kuwa halita mwongezea mkataba mpya Luiz Felipe Scolari wa kuendelea kukinoa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya. Scolari amelaumiwa kwa kushindwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeKgtJZx2mwfY6hwxRM2PpJGygZMiR1izExEhq-F3mG2RVmE8Yj7Bx*C0LcQehAVe-zdgWQtlDQQc2YBs9G-X-78/dunga.jpg?width=650)
DUNGA ACHUKUA MIKOBA YA SCOLARI KUINOA BRAZIL
9 years ago
Bongo505 Sep
Arturo Vidal afukuzwa na kocha wa timu ya taifa ya Chile kwa ulevi
10 years ago
Bongo511 Nov
David Moyes akamata kazi ya kuinoa Real Sociedad
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Mwanasheria wa Zanzibar afukuzwa kazi
Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mhe. Pandu Ameir Kificho, (Kulia) na Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman (mwenye suti ya kijivu), wakitokea mlango wa nyuma wa jengo la bunge hivi karibuni, baada ya kutishiwa kupigwa na wajumbe wa bunge hilo la katiba kutoka nchini Zanzibar. Mhe. Masoud alipigia kura ya HAPANA rasimu inayopendekezwa kuwa katiba mpya ya nchi mbili Tanganyika.
Na Mwandishi wetu
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amemtimua kazi Mwanasheria Mkuu wa...
10 years ago
Habarileo28 Jan
Mkurugenzi AICC afukuzwa kazi
BODI ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mikutano ya Kimataifa (AICC) Arusha imemtimua kazi Mkurugenzi wa Miliki na Miradi wa kituo hicho, Paul Ndosa kwa ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za shirika hilo la umma.
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Mkuu wa mafuta Nigeria afukuzwa kazi
9 years ago
Habarileo11 Nov
Trafiki anayehusishwa na rushwa afukuzwa kazi
JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi kwa kosa la fedheha aliyekuwa askari wake katika Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Anthony Temu (46) wa Kituo cha Polisi Kabuku wilayani Handeni.
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Alan Ivrine afukuzwa kazi West Brom
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Mwalimu afukuzwa kazi kwa kumshabikia Lowassa
Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
MWALIMU wa Shule ya Sekondari Charlotte katika Manispaa ya Morogoro, Heriman Manase anadaiwa kuachishwa kazi akituhumiwa kujihusisha na masuala ya siasa kwa kumshabikia aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na vyama vilipo kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.
Inadaiwa kwamba mwalimu huyo alikuwa akimpigia debe Lowassa, ndani na nje ya shule hiyo.
Mwalimu huyo pia...