Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FEROOZ MBARONI KWA BANGI

Na Issa Mnally
NYOTA aliyetamba katika muziki wa kizazi kipya enzi hizo akiwa na Kundi la Daz Nundaz, Ferooz Mrisho, juzikati alikamatwa na polisi na kutupwa lupango katika Kituo Kidogo cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, baada ya kukutwa akivuta bangi pamoja na vijana wenzake kadhaa maeneo ya Sinza, karibu na Baa ya Meeda. Mwanamuziki Ferooz Mrisho akiwa mikononi mwa polisi baada ya kunaswa akivuta bangi. Habari...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FEROOZ MBARONI KWA UTAPELI

Mayasa Mariwata na Makongoro Ogin’g
Tena? Kwa mara nyingine staa wa Bongo Fleva, Ferooz Mrisho ametiwa mbaroni kwa utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ fedha za kumpangisha nyumba jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Tony Noah kiasi cha zaidi ya Sh. milioni 3.2 kisha kuingia mitini ikielezwa kuwa nyumba hiyo ina mgogoro. Staa wa Bongo Fleva, Ferooz Mrisho. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, ilidaiwa kwamba,...

 

11 years ago

Michuzi

23 WATIWA MBARONI KWA KUKUTWA NA BANGI MKOANI PWANI

JESHI LA POLISI MKOANI PWANI,LINAWASHIKILIA VIJANA 23 WALIOKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA KETE 354 ZA BANGI,PUNI 4,MISOKOTO 8 PAMOJA NA PANGA 1,VISU VINNE NA SIME 3,IKIWA NI KATIKA SEHEMU YA UPEKUZI WA  MAGARI YATOKAYO DAR ES SALAAM AMBAPO KATIKA UPEKUZI HUO WATUHUMIWA HAO WALIPATIKANA.
KATI YA WATUHUMIWA HAO 7 WAMESHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUPATIKANA NA MAKOSA WALIYOKUTWA NAYO NA WENGINE WALIACHIWA BAADA YA KUPATIKANA NA MAKOSAJI HALISI.
KIASI HICHO CHA BANGI KINGEINGIA MWALONI KINGELETA...

 

11 years ago

Michuzi

watu watatu mbaroni kwa kukutwa na bangi ndani ya basi la new force dodoma

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime, wamekamatwa leo mchana wakiwa wanasafirisha Debe ishirini za bangi.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani kulia),Joseph Charles (aliyekaa kulia) na John Joseph(aliye kaa katikati)  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime kushoto akikagua bangi iliyo kamatwa.
Basi la...

 

11 years ago

Michuzi

34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU (3) KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.
Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya miatatu wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao la...

 

11 years ago

Michuzi

34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. 
 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.   Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP  (pichani)amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 300 wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao...

 

10 years ago

Bongo5

Throwback Music: Ferooz — Umeniponza (Audio)

Ferooz ni miongoni mwa wasanii waliokuwa wakiunda kundi la Daz Nundaz lililotamba kwenye muziki wa Bongo Flava kitambo sana. Wasanii wengine waliounda kundi hilo walikuwa pamoja na Daz Baba, La Rhumba na Sajo. Pamoja na kutengeneza hits zao kama kundi zikiwemo ‘Kamanda’ na ‘Barua’, Ferooz na Daz Baba waliweza kufanikiwa pia kama wasanii wanaojitegemea. Ferooz […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Bangi halali kwa matibabu Jamaica

Baraza la mwaziri la Jamaica, limeidhinisha mswada ambao unahalalisha watu kumiliki kiwango kidogo cha Marijuana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mexico yahalalisha bangi kwa watu 4 tu

Mahakama kuu nchini Mexico imetoa amri ya kuliruhusu kundi la wanaharakati kupanda na kusambaza bangi kwa matumizi yao wenyewe.

 

9 years ago

Mtanzania

Wiz Khalifa atumia milioni 20 kwa bangi

Wizkharifa na mama yakeNEW YORK, Marekani

MAMA wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Wiz Khalifa, Katie Wimbush, amesema amechoshwa na tabia uvutaji wa bangi kila wakati unaofanywa na mwanawe.

Mama huyo alisema walikuwa wanavuta bangi na mwanaye tangu alipokuwa na umri mdogo hata kabla ya kuanza shule, lakini kwa sasa amezidisha matumizi ya dawa hizo kiasi cha kumkera mama huyo.

“Ilikuwa ni hali ya kawaida kabla sijaanza safari ya kwenda kazini na yeye kabla ya kuanza shule, tulikuwa tunavuta wote, lakini kwa sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani