Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mexico yahalalisha bangi kwa watu 4 tu

Mahakama kuu nchini Mexico imetoa amri ya kuliruhusu kundi la wanaharakati kupanda na kusambaza bangi kwa matumizi yao wenyewe.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MEXICO YAHALALISHA BANGI ITUMIKE KWA WATU WANNE TU

Mahakama Kuu nchini Mexico. Mwanaharakati anayeunga mkono matumizi ya bangi nchini Mexico, Lucha Libre aliyevaa Maski, akishangilia mara baada ya Mahakama Kuu nchini humo kuruhusu matumizi ya bangi. Mmoja wa wavuta bangi raia wa Mexico akivuta msokoto wa bangi nje ya jengo la Mahakama Kuu ya nchi hiyo jana. Mmoja wa wanaharakati na watumiaji wa zao la mmea wa bangi.… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mexico kujadili kuhalisha bangi au la

Rais wa Mexico, Enrique Pena Nieto, anasema kuwa ataanzisha mjadala wa kitaifa kujadili iwapo wanainchi wanataka baingi iidhinishwe au la.

 

11 years ago

Michuzi

watu watatu mbaroni kwa kukutwa na bangi ndani ya basi la new force dodoma

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime, wamekamatwa leo mchana wakiwa wanasafirisha Debe ishirini za bangi.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani kulia),Joseph Charles (aliyekaa kulia) na John Joseph(aliye kaa katikati)  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime kushoto akikagua bangi iliyo kamatwa.
Basi la...

 

11 years ago

Bongo5

New York yahalalisha matumizi ya Marijuana kwa matibabu

New York imekuwa ni jimbo la 23 nchini Marekani kuhalalisha ‘Medical Marijuana’ kwa matumizi ya matibabu, kwa mujibu wa NBC New York. Sheria hiyo mpya itaanza kufanya kazi ndani ya miezi 18. Wagonjwa watakaoruhusiwa kutumia marijuana kama tiba ni pamoja na wale wa magonjwa kama Cancer, epilepsy na Ukimwi. Medical Marijuana itakuwa ikitolewa kwa mifumo […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Miili ya watu 19 yagunduliwa Mexico

Miili ya watu wapatao 19 imepatikana katika jimbo la Mexico la Guerrero, ambako wanafunzi 43 walitoweka mwaka jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya watu 40 wauawa Mexico

Takriban watu 43 wameuawa wakati wa ufyatulianaji wa risasi katika jmbo la Michoacan nchini mexico.

 

11 years ago

GPL

FEROOZ MBARONI KWA BANGI

Na Issa Mnally
NYOTA aliyetamba katika muziki wa kizazi kipya enzi hizo akiwa na Kundi la Daz Nundaz, Ferooz Mrisho, juzikati alikamatwa na polisi na kutupwa lupango katika Kituo Kidogo cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, baada ya kukutwa akivuta bangi pamoja na vijana wenzake kadhaa maeneo ya Sinza, karibu na Baa ya Meeda. Mwanamuziki Ferooz Mrisho akiwa mikononi mwa polisi baada ya kunaswa akivuta bangi. Habari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ireland yahalalisha ndoa za jinsia moja

Waziri mkuu nchini Ireland amesema Ireland imetoa ujumbe mkubwa baada ya kupiga kura kwa wingi kuhalalisha ndoa za jinsia moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani