Fibroid huwakumba wanawake walioamua kutozaa ama kuchelewa
Miaka ya hivi karibuni hospitali nyingi zimefurika wanawake waliobainika kuwa na uvimbe kwenye kizazi ikilinganishwa na kipindi cha nyuma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
AMCHARANGA MKEWE, KISA KUTOZAA
Na Shomari Binda, Tarime/Uwazi
MTU mmoja mwanamume, aliyetajwa kwa jina la John Weghai amemjeruhi vibaya mke wake, Anastazia John (18) kwa kumkatakata na mapanga kwa kile kinachodaiwa kuchelewa kwake kupata ujauzito, katika maisha ya wawili hao waliyoanza Februari mwaka jana. Mwanamke, Anastazia John (18) anayedaiwa kucharangwa mapanga na mume wake, John Weghai. Tukio hilo la kinyama lilitokea katika Kijiji cha Mariba,...
10 years ago
Vijimambo03 Feb
AMCHARANGA MKEWE, KISA KUTOZAA HARAKA

9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Mapadri walioamua kuoa
Suala ya iwapo mapadri wanafaa kuruhusiwa kuoa limekuwa moja ya masuala nyeti katika Kanisa Katoliki, na kuna baadhi ya mapadri waliojitenga na kanisa hilo na kuamua kuoa.
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Kutana na vijana walioamua kujiajiri
>Watu wengi wanapenda kuwa na maisha bora, wengi wanaishia kuwa na hali duni. Baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza ‘kwa nini ninakuwa na maisha duni’, ingawa jibu lake ni kwamba adui wa kwanza wa maisha yako ni wewe mwenyewe…Kukata tamaa kwako.
10 years ago
GPL
UVIMBE WA KIZAZI (UTERINE FIBROID)
Fibroid ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii ya uvimbe bado hakijulikani lakini ni tatizo linalosumbua zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa.
Umri wa kuzaa ni ule kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa kuzaa. Umri wa kuvunja ungo ni kati ya miaka kumi na mbili hadi kumi na tano, hapa tunategemea mwanamke anaweza kuvunja ungo...
11 years ago
GPL
UVIMBE KWENYE MJI WA MIMBA(FIBROID)
uvimbe ambao hujitokeza katika misuri ya mji wa mimba hutokea sana kwa watu weupe (wazungu kwa asilimia 25 na watu weusi ni zaidi ya asilimia 50). Chanzo cha uvimbe kwenye mji wa mimba hakijulikani vizuri isipokuwa kuna vitu vinavyofikiriwa kuwa vinachangia kuleta uvimbe huo. Vichocheo kama vya estrogens husadikika kusababisha uvimbe kwenye kizazi. Uvimbe huambatana na vichocheo vya estogen ambapo ni chembechembe zinazopokea...
10 years ago
GPL
UVIMBE KWENYE MJI WA MIMBA (FIBROID)-4
MATIBABU YA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Wiki iliyopita tulieleza matatizo ya uvimbe kwenye kizazi. Leo tunafafanua matibabu ya uvimbe kwenye kizazi kwamba hutegemea na vitu mbalimbali kama umri au kama mama ameishawahi kupata ujauzito au kama ni mjamzito. Mgonjwa akiwa na uvimbe wa kizazi daktari anaweza kuangalia dalili alizonazo, ukubwa wa uvimbe na sehemu ya uvimbe ulikojitokeza.
Kama mgonjwa yupo katika hali mbaya au...
11 years ago
GPL
UVIMBE KWENYE MJI WA MIMBA (FIBROID)-3
Uvimbe huweza pia kukandamiza viungo jirani na uzazi (pressure effets) ambapo mirija ya mkojo na kibofu cha mkojo na utumbo mkubwa wa haja kubwa na uvimbe unaweza kusababisha usipate choo(consipation) wakati mwingine huweza kusababisha mkojo usitoke (urinal retention), dalili zingine ni kama kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa (dyspararemia), uchafu sehemu za siri na kushindwa kubeba mimba (infertity) asilimia kati ya 27- 40...
11 years ago
GPL
UVIMBE KWENYA MJI WA MIMBA (FIBROID)-2
Naendelea kuelezea dalili za uvimbe kwenye mji wa mimba ili uweze kuzijua na kuchukua hatua mapema. Dalili hutegemea na sehemu uvimbe ulikojishikiza, ukubwa wa uvimbe na kama mama ana ujauzito, uvimbe huambatana na kutokuwa na mpangilio wa hedhi hii hutokea kwa akina mama asilimia 30 ambapo mama huingia kwenye siku zake mara mbili kwa mwezi au kutoingia kabisa akifuatiwa na kumwaga damu nyingi wakati...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania