Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVIMBE KWENYA MJI WA MIMBA (FIBROID)-2

Naendelea kuelezea dalili  za uvimbe kwenye mji wa mimba ili uweze kuzijua na kuchukua hatua mapema. Dalili hutegemea  na sehemu uvimbe  ulikojishikiza, ukubwa wa uvimbe na kama mama ana ujauzito, uvimbe  huambatana na kutokuwa  na mpangilio wa hedhi  hii hutokea kwa akina mama asilimia 30 ambapo mama huingia kwenye  siku zake mara mbili kwa mwezi au kutoingia kabisa akifuatiwa na kumwaga damu nyingi wakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UVIMBE KWENYE MJI WA MIMBA (FIBROID)-4

MATIBABU YA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Wiki iliyopita tulieleza matatizo ya uvimbe kwenye kizazi. Leo tunafafanua matibabu ya uvimbe kwenye kizazi kwamba hutegemea na vitu mbalimbali kama umri au kama mama ameishawahi kupata ujauzito au kama ni mjamzito. Mgonjwa akiwa na uvimbe wa kizazi daktari anaweza kuangalia dalili alizonazo, ukubwa wa uvimbe  na sehemu ya uvimbe ulikojitokeza.
Kama mgonjwa yupo katika hali mbaya au...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KWENYE MJI WA MIMBA(FIBROID)

uvimbe ambao hujitokeza katika misuri ya mji wa mimba hutokea sana kwa watu weupe (wazungu kwa asilimia 25 na watu weusi ni zaidi ya asilimia 50). Chanzo cha uvimbe kwenye mji wa mimba hakijulikani vizuri isipokuwa kuna vitu vinavyofikiriwa kuwa vinachangia kuleta uvimbe huo. Vichocheo kama vya  estrogens husadikika kusababisha uvimbe kwenye kizazi. Uvimbe huambatana na vichocheo vya estogen ambapo ni chembechembe zinazopokea...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KWENYE MJI WA MIMBA (FIBROID)-3

Uvimbe huweza pia kukandamiza viungo jirani na uzazi (pressure effets) ambapo mirija ya mkojo na kibofu cha mkojo na utumbo mkubwa wa haja kubwa na uvimbe unaweza kusababisha usipate choo(consipation) wakati mwingine huweza kusababisha mkojo usitoke (urinal retention), dalili zingine ni kama kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa (dyspararemia), uchafu sehemu za siri na kushindwa kubeba mimba (infertity) asilimia kati ya 27- 40...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE WA KIZAZI (UTERINE FIBROID)

Fibroid ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii ya uvimbe bado hakijulikani lakini ni tatizo linalosumbua zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa.
Umri wa kuzaa ni ule kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa kuzaa. Umri wa kuvunja ungo ni kati ya miaka kumi na mbili hadi kumi na tano, hapa tunategemea mwanamke anaweza kuvunja ungo...

 

10 years ago

Mwananchi

Fibroid huwakumba wanawake walioamua kutozaa ama kuchelewa

Miaka ya hivi karibuni hospitali nyingi zimefurika wanawake waliobainika kuwa na uvimbe kwenye kizazi ikilinganishwa na kipindi cha nyuma.

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

10 years ago

Vijimambo

NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO






Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...

 

10 years ago

GPL

DENTI AOTA UVIMBE WA AJABU!

Binti, Anastazia Phillip (18) anayesumbuliwa na uvimbe ulioota mguuni. Chande Abdallah na Deogratius MongeLa
Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwaka huu katika Shule ya Sekondari Kibasila, jijini Dar, Anastazia Phillip (18) mkazi wa Buza, amejikuta ameota uvimbe wa ajabu unaofananishwa na…

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-2

Aina za uvimbe wa Fibroid
Fibroid zinatofautishwa kutokana na sehemu ilipotokea. Zipo zinazotokea ndani ya mji wa mimba na nyingine zinatokea kwenye kuta za nje ya mji wa mimba. Msomaji tambua kuwa karibu asilimia 75 ya wanawake wenye Fibroid hawajui kama wana tatizo hilo. Si rahisi mtu kuona dalili na kutambua mara moja kuwa ana tatizo la Fibroids. Utambuzi wa dalili za Fibroid hutegemea ukubwa wake na mahali zilipo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani