Fidia Kipunguni yafikia Shilingi bilioni18
FIDIA ya wananchi wa Kipunguni waliobomolewa nyumba zao kwa ajili ya kupisha ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam imefikia Sh bilioni 18.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper05 Mar
Bunge laitaka serikali kulipa fidia Kipunguni
NA EMMANUEL MOHAMEDKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kuharakisha malipo ya fidia kwa wananchi wa eneo la Kipunguni, Dar es Saalam kabla ya kuanza kwa vikao vya Bajeti vya Bunge. Imesema kuendelea kucheweleshwa kwa juhudi za kulipa fidia hiyo inahatarisha kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa jengo jipya la abiria (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Awali, wananchi wa eneo hilo walitakiwa...
9 years ago
Bongo509 Nov
Ribery aifungulia kesi CNN, adai fidia ya shilingi bilioni 3.2
![6b2b3ad7-f89d-4643-9063-4a4da85314b8-2060x1236](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/6b2b3ad7-f89d-4643-9063-4a4da85314b8-2060x1236-300x194.jpeg)
Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya FC Bayern Munich, Frank Ribery amekishtaki kituo cha televisheni cha Marekani, CNN akikidai fidia ya dola milioni 1.5 sawa na shilingi bilioni 3.2 za Kitanzania.
Ribery amekifungulia kesi kituo hicho cha TV kwa kutumia picha ya mwanasoka huyo katika kuelezea story juu ya matibabu ya cryotherapy – matibabu yanayohusisha kuuweka mwili kwenye sehemu kavu au yenye baridi kali ili kupunguza maumivu au kuponyesha kabisa.
Mwanasheria wake, Carlo...
11 years ago
Dewji Blog26 Jun
Manyoni yalipa fidia zaidi ya shilingi 158 milioni kupisha zoezi la huduma ya umeme vijijini
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Manyoni Mseya, akitoa taafira yake ya ulipaji fidia kwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Maweni, Mwanzi na Lusillile ili wapishe mradi wa njia ya umeme 400 KV.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
HALMASHAURI ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imetumia zaidi ya shilingi 158 milioni kulipa fidia kwa baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu,ili kupisha zoezi la utoaji wa huduma ya umeme vijijini.
Fidia hiyo imetolewa mapema mwaka huu kwa wakazi wa vijiji vya...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB03 May
Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani Shilingi inahujumiwa na Mabenki?
Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani
Shilingi inahujumiwa na Mabenki? – Zitto Kabwe[1]
Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu. Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka 1$/2000TS kunasababishwa na sababu kadhaa 1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI etc) kusikilizia Serikali ijayo...
10 years ago
CloudsFM02 Apr
9 years ago
Dewji Blog16 Aug
Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi kusimamia Haki ya Fidia kwa wafanyakazi
![](http://1.bp.blogspot.com/-oIQT1unmzzo/VdBzkYWQpFI/AAAAAAAAXv8/Qe-eB9mYhWo/s640/B3.jpg)
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Masha Mshomba, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya Mfuko huo barabara ya Bagamoyyo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2015. Mfuko huo ulioanzishwa kwa sheria ya bunge namba 20 kifungu cha 5 ya mwaka 2008, una madhumuni ya kutoa fidia kwa Wafanyakazi kutokana na ulemavu au vifo viinavyosababishwa na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi sambamba na kukuza mbinu za kuzuia matukio ya ajali, alisema. (Picha na...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Kiwanda cha Wachina chawakera Kipunguni ‘B’
WANANCHI wa Mtaa wa Kipunguni ‘B’, Kata ya Kivule, Ilala, jijini Dar es Salaam wamelalamikia harufu mbaya inayotoka kwenye Kiwanda cha Aminata Mafuta Processing kilichopo eneo hilo. Kiwanda hicho kinachomilikiwa...
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
PSPF wafungua rasmi mashindano ya ligi ya Bodaboda Kipunguni “B”
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni ‘B’ kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujiunga.
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Josephat Sylvery Tirumanywa akizungumza na wananchi mbalimbali waliofanikiwa kuhudhuria ufunguzi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa madereva bodaboda wakiume maeneo ya Kipunguni ‘B’ katika...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-cWaEsBYdR2c/VNXxwIOhY9I/AAAAAAAAPos/3JclIWC3swk/s72-c/IMG-20150207-WA0066.jpg)
WATU SITA WATEKETEA KWA MOTO KIPUNGUNI, DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-cWaEsBYdR2c/VNXxwIOhY9I/AAAAAAAAPos/3JclIWC3swk/s640/IMG-20150207-WA0066.jpg)