Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Figo: Soka la vijana ndiyo dawa pekee

Mwanasoka bora wa dunia wa mwaka 2001 na winga wa zamani wa Real Madrid, Luis Figo amesema ili Tanzania ipate maendeleo katika soka la kimataifa inapaswa kutumia njia sahihi za kukuza vipaji vya vijana nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NI WENYE AKILI PEKEE NDIYO WATAKAOMWELEWA GWAJIMAU

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. elewa ni suala la mtu na mtu, si kitu cha pamoja hata kidogo! Fundisha uwezavyo usitarajie watu wote wakuelewe katika msingi mmoja. Naamini hata sakata la Josephat Gwajima ambaye ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, lazima litaeleweka tofautitofauti. Nakatisha maelezo kwa sababu nafahamu jamii ninayoiandikia makala haya inafahamu Gwajima anatuhumiwa kumkashifu Askofu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Azam ndiyo pekee itapeta masharti ya CAF, Fifa’

Klabu za Ligi Kuu Bara sasa zitaingia katika mfumo mpya wa kushiriki ligi hiyo kwa kujaza fomu za kuomba ushiriki endapo itakidhi vigezo ikiwamo kuwa na uwanja wa mazoezi, uwanja wa kuchezea mechi na programu ya vijana.

 

10 years ago

Mwananchi

Karibu Profesa Assad, weledi ndiyo siri pekee

Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

GPL

MMEACHANA, KUNUNIANA NDIYO DAWA?

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha na wewe tena msomaji wa safu hii ya Love Story. Huu ndiyo uwanja wetu wa kuweza kupeana mambo mbalimbali ambayo yanatuzunguka katika ulimwengu wa uhusiano.Ni ukweli usiopingika kwamba, mtu anapoanzisha uhusiano, akadumu, siku zote hatarajii kama kuna siku penzi linaweza kuvunjika. ‘Anainjoi’ utamu wa mapenzi. Anapenda jinsi mwenzake anavyomjali na kumuona wa thamani kuliko kitu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ushirikina, nidhamu mbaya uwanjani ndiyo soka letu

Kweli inashangaza sana kusikia miaka hii bado kuna baadhi ya timu zinaendekeza mambo ya ushirikina katika kutafuta matokeo bora kwenye mashindano. Inasikitisha kwa sababu, wakati wenzetu wanasonga mbele kisayansi, sisi bado tunaendelea kujiweka kwenye mazingira ya ushirikina.

 

10 years ago

Vijimambo

YAYA TOURE NDIYO MBABE WA SOKA AFRIKA KWA MARA YA NNE

Yaya Tourekiungo wa timu ya Manchester City Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa mwaka wanne mfululizo.
Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.
Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na...

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA... UNADHANI KUCHEPUKA NJE YA NDOA NDIYO DAWA?-2

NAMSHUKURU Mungu kwa mara nyingine tena kwa kunijaalia fursa hii ya kuzungumza nanyi wapenzi wasomaji wa safu hii. Jamani mambo vipi? Maandalizi ya sikukuu yanakwendaje? Natumaini mambo yanakwenda vizuri. Haya karibuni tena kwenye mambo ya malavudave, si unajua bila mapenzi hakuna maisha! Huo ndio ukweli. Huwezi kuishi kama jiwe au mti, raha ya maisha ni kuwa na mwenzi atakayekupenda kwa dhati na kutokuwa tayari kukusaliti kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Prof Jay: Vijana ndiyo watakaoleta mabadiliko

Mbunge mteule wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule, maarufu Profesa Jay amesema vijana ndiyo watakaoleta mabadiliko nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani