HATA KAMA... UNADHANI KUCHEPUKA NJE YA NDOA NDIYO DAWA?-2

NAMSHUKURU Mungu kwa mara nyingine tena kwa kunijaalia fursa hii ya kuzungumza nanyi wapenzi wasomaji wa safu hii. Jamani mambo vipi? Maandalizi ya sikukuu yanakwendaje? Natumaini mambo yanakwenda vizuri. Haya karibuni tena kwenye mambo ya malavudave, si unajua bila mapenzi hakuna maisha! Huo ndio ukweli. Huwezi kuishi kama jiwe au mti, raha ya maisha ni kuwa na mwenzi atakayekupenda kwa dhati na kutokuwa tayari kukusaliti kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA

Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
10 years ago
GPL
MUHIMBILI VIFO NJE NJE KISA DAWA HAKUNA
10 years ago
Raia Mwema14 Oct
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Mazoezi kuimarisha tendo la ndoa hata kwa wazee
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri
DANSA wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale...
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Hemed: Nitatoa albamu hata kama hazilipi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MWIGIZAJI Hemed Suleiman ‘PHD’ anatarajia kuachia albamu aliyoiita Virgo mapema mwakani tofauti na wasanii wengine wanaodai albamu hazilipi.
Albamu hiyo itakuwa ya kwanza tangu alipoingia katika muziki na anatarajia kuachia wimbo wa ‘Itabaki story’ ili kuwapa mashabiki wake alichokiandaa katika albamu hiyo.
“Itabaki story’ ni wimbo ambao upo ndani ya albamu hiyo pia nitaachia nyimbo nyingine mbili kama utambulisho wa albamu yangu ya kwanza toka nimeanza muziki,”...
10 years ago
GPLIYOBO: HATA KAMA AUNT AMENIZIDI UMRI, HAIHUSU
11 years ago
GPLDENTI: HATA MIMI NILIPENDA KUWA KAMA NINYI
10 years ago
Vijimambo
HATA KAMA MSAFIRI KAFIRI LAKINI HII NI HATARI
