Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Karibu Profesa Assad, weledi ndiyo siri pekee

Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Profesa Assad awa CAG mpya

Profesa Mussa Juma AssadRAIS Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

11 years ago

Mwananchi

Weledi ndiyo kipaumbele chetu

Leo imetimia miaka minane tangu tulipoanza kutoa Jarida la Starehe. Hakika miaka minane siyo umri wa kubeza, kwani kama ni binadamu basi ni mtoto ambaye tayari akili zake zimetulia na ni mwelewa.

 

10 years ago

Mtanzania

CAG Profesa Assad aanza kukunjua makucha

Profesa Mussa Juma Assad

Profesa Mussa Juma Assad

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Professa Mussa Juma Assad, ameanza kukunjua makucha kwa kuwaonya watu wanaochanganya siasa na biashara.

Profesa Assad alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa mwaka wa wahasibu na wakaguzi zaidi ya 3,000 unaoendelea kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mjini hapa.

“Kuna kitu nakiita kuchanganya siasa na wafanyabiashara, nawaambia lazima utenganishe mwingiliano binafsi...

 

10 years ago

Mwananchi

CAG Profesa Assad asema moto ni uleule

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya, Profesa Mussa Assad amesema ataanza kazi kwa moto uleule ulioachwa na mtangulizi wake, Ludovick Utouh aliyestaafu.

 

10 years ago

Michuzi

Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali Tanzania Profesa Mussa Assad (Kushoto) akihojiwa na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha:RedioyaUM)Hivi karibuni Tanzania ambayo ni mjumbe wa bodi ya wakaguzi wa Umoja wa Mataifa imepata Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali naye ni Profesa Mussa Juma Assad. Uteuzi wake unafuatia kustaafu kwa mtangulizi wake Ludovick Uttouh. Mara baada ya uteuzi na kuapishwa, Profesa Assad alifika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

10 years ago

Michuzi

JK AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI PROFESA MUSA JUMA ASSAD LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG  Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa  Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mussa Juma Assad ateuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

 Profesa Mussa Juma Assad---  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

Kabla ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.

Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani