Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali Tanzania Profesa Mussa Assad (Kushoto) akihojiwa na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha:RedioyaUM)Hivi karibuni Tanzania ambayo ni mjumbe wa bodi ya wakaguzi wa Umoja wa Mataifa imepata Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali naye ni Profesa Mussa Juma Assad. Uteuzi wake unafuatia kustaafu kwa mtangulizi wake Ludovick Uttouh. Mara baada ya uteuzi na kuapishwa, Profesa Assad alifika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Dec
Profesa Assad awa CAG mpya
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
10 years ago
Mtanzania05 Dec
CAG Profesa Assad aanza kukunjua makucha
![Profesa Mussa Juma Assad](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/mussa-assad1.jpg)
Profesa Mussa Juma Assad
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Professa Mussa Juma Assad, ameanza kukunjua makucha kwa kuwaonya watu wanaochanganya siasa na biashara.
Profesa Assad alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa mwaka wa wahasibu na wakaguzi zaidi ya 3,000 unaoendelea kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mjini hapa.
“Kuna kitu nakiita kuchanganya siasa na wafanyabiashara, nawaambia lazima utenganishe mwingiliano binafsi...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
CAG Profesa Assad asema moto ni uleule
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Karibu Profesa Assad, weledi ndiyo siri pekee
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rypkc2hBik0/VH2itVhQaQI/AAAAAAAG0xA/uAEEMJmUK1Q/s72-c/cag8.jpg)
JK AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI PROFESA MUSA JUMA ASSAD LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-rypkc2hBik0/VH2itVhQaQI/AAAAAAAG0xA/uAEEMJmUK1Q/s1600/cag8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5vDV-Wx1ayU/VH2itJtHCmI/AAAAAAAG0w8/-e1p7PWEqTo/s1600/cag9.jpg)
10 years ago
Michuzi02 Dec
Profesa Mussa Juma Assad ateuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
![](https://2.bp.blogspot.com/-j0-E67quVHw/VHxu-JEV9MI/AAAAAAADJNQ/yDIj8THY26s/s1600/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-eGv-ufN1spI/VHxvRVpbjKI/AAAAAAADJNY/GqyrSZCfmek/s1600/Kurugenzi-ya-mawasiliano-ya-Ikulu.jpg)
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana...
10 years ago
MichuziMKAGUZI NA MDHIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI,PROFESA JUMA ASSAD ATEMBELEA MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR