Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Weledi ndiyo kipaumbele chetu

Leo imetimia miaka minane tangu tulipoanza kutoa Jarida la Starehe. Hakika miaka minane siyo umri wa kubeza, kwani kama ni binadamu basi ni mtoto ambaye tayari akili zake zimetulia na ni mwelewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MOJA YA KIPAUMBELE CHETU NI KUIGEUZA TTB KUWA MAMLAKA - DK MERU

 Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi devota Mdachi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (Mwenye miwani) kuzungumza na wafanyakazi alipotembelea bodi hiyo jana. Mmoja wa wafanyakazi wa TTB Bw. Geofrey Tengeneza ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano akielezea jambo kwa Katibu Mkuu alipotembelea ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania na kuzungumza na wafanyakazi.   Baadhi ya wanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania wakimsikiliza kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Karibu Profesa Assad, weledi ndiyo siri pekee

Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

11 years ago

Mwananchi

Sokoine angekuwapo, kijiji chetu kingekuwa Ulaya

Kama walivyo Watanzania wengi, kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, hayati Moringe Sokoine kimeacha simanzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye kwake ndiyo ni ndiyo

Wakazi wa Hanang’ wana maneno tofauti ya kumsifu na kumshukuru Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ambaye alikuwa mbunge wa Hanang kwa miaka 20 mfululizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Makocha weledi watavuta mashabiki

Michezo ni kitu muhimu sehemu yoyote duniani katika maisha ya jamii ya binadamu na inasaidia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya nchi mbalimbali, pia husaidia kujenga urafiki, mshikamano na umoja wa kitaifa kwa taifa lolote lile.

 

10 years ago

Habarileo

JK ataka weledi utumishi wa umma

UTUMISHI wa Umma nchini umetakiwa kubadilika katika utendaji wao ili kuwa wawezeshaji zaidi badala ya wakwamishaji katika kutoa maamuzi muhimu ya utendaji wa shughuli mbalimbali nchini.

 

9 years ago

Michuzi

WAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI

Mkurugenzi wa msaidizi (Mafunzo) Bibi Felister Tirutangwa akizungumza wakati wa mafunzo ya program ya TEAMMATE kwa ajili ya wakaguzi kutoka NAOT na Wizara ya Fedha. Mafunzo hayo yanafanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 02 hadi 06 Novemba, 2015.Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) na Wizara ya Fedha wakifuatilia kwa umakini mafunzo  ya program ya TEAMMATE. Mafunzo hayo yanafanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 02 hadi 06 Novemba, 2015.Mgeni rasmi wa mafunzo ya program ya...

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa ataka weledi Serikali za Mitaa

WATUMISHI wa Serikali za Mitaa wametakiwa kufanya kazi kwa kujituma wakizingatia maadili na taaluma zao badala ya kufanya kazi kwa woga na kwamba hakuna mtumishi yeyote atakayeadhibiwa akifanya kazi yake kwa weledi.

 

10 years ago

Habarileo

Nape ahimiza weledi taaluma ya habari

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM – Taifa, Nape NnauyeWAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuendelea kuandika habari kwa weledi zisizoegemea upande mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani