Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sokoine angekuwapo, kijiji chetu kingekuwa Ulaya

Kama walivyo Watanzania wengi, kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, hayati Moringe Sokoine kimeacha simanzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mwapachu asema Nyerere angekuwapo angejitoa CCM

Siku moja baada ya kutangaza kujitoa CCM, kada mkongwe wa chama hicho, Balozi Juma Mwapachu amesema uamuzi alioufanya ni sahihi ambao hata Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa hai angeufanya kwa sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Weledi ndiyo kipaumbele chetu

Leo imetimia miaka minane tangu tulipoanza kutoa Jarida la Starehe. Hakika miaka minane siyo umri wa kubeza, kwani kama ni binadamu basi ni mtoto ambaye tayari akili zake zimetulia na ni mwelewa.

 

10 years ago

Michuzi

MOJA YA KIPAUMBELE CHETU NI KUIGEUZA TTB KUWA MAMLAKA - DK MERU

 Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi devota Mdachi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (Mwenye miwani) kuzungumza na wafanyakazi alipotembelea bodi hiyo jana. Mmoja wa wafanyakazi wa TTB Bw. Geofrey Tengeneza ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano akielezea jambo kwa Katibu Mkuu alipotembelea ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania na kuzungumza na wafanyakazi.   Baadhi ya wanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania wakimsikiliza kwa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014   Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akitambulishwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwidu,Mzee Mohamed Said kwa Bw. Chomiki kutoka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shindano la Serengeti Masta lawasha moto Ulaya Ulaya Bar ya Manzese

CAMPIX PRODUCTION

Mshereheshaji wa shindano la Serengeti Premium Lager liliopewa jina la “Serengeti Masta” Razani Kapalatu akiwa pamoja na mabalozi wa bia ya Serengeti premium Lager ambao kwa pamoja walitoa maelezo kwa wateja wa bia hiyo waliofika kushiriki katika shindano la kumtafuta Serengeti Masta ndani ya baa ya Ulaya Ulaya iliyopo Manzese jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Shindano hilo limedumu jijini Dar na mikoani kwa takriban muda wa miezi miwili sasa na kuweza kuzifikia baa mbalimbali ambapo...

 

10 years ago

Vijimambo

SPIKA KIFICHO AMSHUKURU MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE LA ULAYA YA USHIRIKIANO WA BUNGE LA ULAYA NA TANZANIA

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimkabidhi zawadi Mhe. David Martin Mjumbe wa Kamati ya Bunge la Ulaya ya Ushirikiano kati ya Bunge la Ulaya, Baraza la Wawakilishi na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA SOKOINE

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Moringe  Sokoine (kulia) enzi za uhai wake akiwa na Mwalimu Nyerere. WAZIRI Mkuu (sasa ni marehemu) Edward Moringe  Sokoine alikuwa Dodoma kwenye kikao cha Bunge akiwa ni kiongozi wa shughuli za serikali na alimaliza kikao chake Aprili 11, 1984. Aliandaliwa usafiri wa ndege ili asafiri na ujumbe wake wakati wa kurejea Dar es Salaam kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa lakini...

 

11 years ago

TheCitizen

EDITORIAL: Why Sokoine is missed

>Today we mark the 30th anniversary of the death of Edward Sokoine, who served as prime minister from February 1977 to November 1980 and again from February 1983 to April 1984.

 

11 years ago

Mwananchi

Sokoine marathon safi

Zaidi ya wanariadha 1000 wanatarajiwa kushiriki mbio za Sokoine marathon za kumuenzi aliyekuwa waziri mkuu wa awamu ya kwanza, hayati Edward Sokoine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani