Makocha weledi watavuta mashabiki
Michezo ni kitu muhimu sehemu yoyote duniani katika maisha ya jamii ya binadamu na inasaidia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya nchi mbalimbali, pia husaidia kujenga urafiki, mshikamano na umoja wa kitaifa kwa taifa lolote lile.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1i8muMJJfgA/U9t7JDECmlI/AAAAAAAF8Ok/ArMmA_yaWH0/s72-c/unnamed+(24).jpg)
makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-1i8muMJJfgA/U9t7JDECmlI/AAAAAAAF8Ok/ArMmA_yaWH0/s1600/unnamed+(24).jpg)
10 years ago
Habarileo31 Oct
JK ataka weledi utumishi wa umma
UTUMISHI wa Umma nchini umetakiwa kubadilika katika utendaji wao ili kuwa wawezeshaji zaidi badala ya wakwamishaji katika kutoa maamuzi muhimu ya utendaji wa shughuli mbalimbali nchini.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Weledi ndiyo kipaumbele chetu
9 years ago
MichuziWAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
BUNGE LA LA KATIBA: Weledi, hekima na nidhamu
KWA tafsiri yoyote iwayo, Bunge la Katiba litakuwa chombo kikuu kitakachopewa mamlaka na madaraka kwa niaba ya wananchi, kuijadili rasimu ya pili ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano ya...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Majaliwa ataka weledi Serikali za Mitaa
WATUMISHI wa Serikali za Mitaa wametakiwa kufanya kazi kwa kujituma wakizingatia maadili na taaluma zao badala ya kufanya kazi kwa woga na kwamba hakuna mtumishi yeyote atakayeadhibiwa akifanya kazi yake kwa weledi.
10 years ago
Habarileo06 Feb
Nape ahimiza weledi taaluma ya habari
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuendelea kuandika habari kwa weledi zisizoegemea upande mmoja.
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Kova ataka polisi kuzingatia weledi
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna (CP), Suleiman Kova, amewataka askari wa kanda hiyo kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia haki za binadamu na kufuata maadili ya...
9 years ago
StarTV19 Aug
Wanahabari wahimizwa kufanya kazi kwa weledi
Waandishi wa habari wametahadharishwa juu ya ukiukaji mkubwa wa maadili unaofanywa hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu kwani hali hiyo ikiendelea inaweza kusababisha kuwepo kwa machafuko nchini.
Aidha imeelezwa kuwa ukiukwaji mkubwa ni ule wa waandishi kuamua kuwa wasemaji wakuu wa wagombea kuandika habari za kichochezi bila kuchuja na kubeba baadhi ya wagombea hata ambao hawana sifa kwa maslahi yao binafsi hali inayofanya jamii kutokuwa na imani na...