Fikra za kishamba zinatugharimu Watanzania
Mambo mengi yanayotokea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengine nchini yananiacha hoi. Nitatoa mfano wa madereva wa magari.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania watakiwa kuacha uvivu wa fikra
Watanzania wametakiwa kuacha tabia ya kutawaliwa na uvivu na ufinyu wa fikra za kimaendeleo zinazowasababishia baadhi ya watu kutojihusisha na masuala ya maendeleo na kuishia katika vijiwe wakidai hakuna maendeleo nchini.
Akizungumza katika ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi salama Mchungaji John Masanyiwa amesema iwapo watanzania wanataka maendeleo ya kweli ni vyema wakajihamasisha katika shughuli za kimaendeleo zitakazowawezesha kupata fursa mbalimbali kwa viongozi...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Una fikra hasi?
10 years ago
Raia Mwema23 Sep
Hawatutaki wenye fikra tofauti
NI kawaida yangu kila Ijumaa kutembelea saluni iliyo jirani na nyumbani kwangu pale Magomeni, Dar
Mwandishi Wetu
11 years ago
Uhuru Newspaper
Shibuda: Fikra za UKAWA ni chakavu
Sitta awapuuza, asema Bunge litaendeleaWasomi wawashangaa, wawaonya wananchi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MAMBO yanazidi kwenda mrama kwa viongozi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kutokana na kuendelea kuvurumishiwa makombora kutokana na kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

Mbunge wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, amesema kundi hilo lina fikra chakavu na ndiyo sababu amewazidi uwezo wa kufikiri na kuamua kurejea kushiriki vikao vya bunge hilo.
Shibuda, ambaye...
11 years ago
Mwananchi20 Aug
Je, ni ulemavu wa fikra au kitu gani?
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Fikra ikibadilika italeta mtazamo chanya
LEO tutajadiliana namna fikra inavyobadilisha mtazamo, pamoja na kuambiwa kuwa takriban bilioni moja ya watu wanaoishi duniani ni vijana na kwamba asilimia 85 ya vijana hao wanaishi katika nchi zinazoendelea...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Badili maisha kupitia fikra zako
WATAALAMU wa masuala ya saikologia wanasema zaidi ya asilimia 95 ya maisha yetu ni matokeo ya fikra zilizopo ndani yetu na asilimia 5 ni mazingira yanayotunguka na vitu vingine. Kutokana...
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Watoto wafunzwa fikra za Osama Pakistani
11 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Waganga waaswa kuacha fikra potofu
WAGANGA tiba asili wametakiwa kuachana na fikra potofu za kuwashawishi wateja wao kuwa wakiua au kuleta viungo vya binadamu ndio chanzo cha kupata mafanikio. Akizungumza na Tanzania Daima jijini hapa,...