FILAMU YA 30 DAYS IN ATLANTA YAFUNIKA NOLLYWOOD
![](http://api.ning.com:80/files/dPD9WoZYhyqhqzwSVF-GFlfRHpkQL6vec5xlX2wP45QVhZB-1N0M6K609vyq7MXwz8DHBHMKrDJbpQsN4-U*PDY45AAQGFyw/30DaysinAtlantaGhanaPremierePulse.jpg?width=650)
FILAMU 30 Days in Atlanta ambayo ndani yake staa ni AY wa Nigeria imepanda katika soko la filamu nchini Nigeria ambapo mauzo yake yamepanda kutoka Naira milioni 76 mpaka kufikia Naira Milioni 132 na hivyo kuwa filamu iliyopanda kimauzo katika historia ya filamu za nchi hiyo. Filamu hiyo iliingiza Naira milioni 76 katika wiki saba za kwanza tangu ilipozinduliwa imeonekana kuwa chaguo la wengi. Filamu hiyo ilizinduliwa nchini...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Dec
Filamu ya maisha ya Tupac kuanza kutengenezwa Atlanta
![tupac_shakur_1996_death_row_interscope_records_photofest_WEB-630x416](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/tupac_shakur_1996_death_row_interscope_records_photofest_WEB-630x416-300x194.jpg)
Filamu itakayoongelea maisha ya Tupac, All Eyez On Me imeanza kufanyika jijini Atlanta, Marekani kwa mujibu wa mtayarishaji, L.T. Hutton.
Aliandika kwenye Instagram:
IT’S BEEN A LONG JOURNEY BLOOD SWEAT AND TEARS ALL THE LIES. LL THE BULLSHIT HARD WORK HAS PAID OFF !! WE START SHOOTING IN A FEW HOURS !!!!! HISTORY WILL BE MADE ALL LOVE TO THE REAL THE FAKE THE RUMOR BELIEVER’S THE SOCIAL NETWORKING NON FACT CHECKING ASS HOLES YOU KNOW WHAT IT IS !! LET’S GO !!! #alleyezonme#tupac #2pac...
9 years ago
Bongo513 Oct
Davido aigiza kwa mara ya kwanza kwenye filamu mpya ya Nollywood, tazama Trailer
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oeV21gL_BHw/VWw9avs4nDI/AAAAAAAAIvM/LKP6oo8Nmmo/s72-c/image007.jpg)
Watanzania Atlanta BBQ
![](http://3.bp.blogspot.com/-oeV21gL_BHw/VWw9avs4nDI/AAAAAAAAIvM/LKP6oo8Nmmo/s640/image007.jpg)
Tanzania Association of Atlanta
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-yM_xSFbTcro/VLkg59y9Y0I/AAAAAAADVm4/b0jD7rzsp1E/s72-c/IMG_9270.png)
MSIBA ATLANTA, ALABAMA NA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-yM_xSFbTcro/VLkg59y9Y0I/AAAAAAADVm4/b0jD7rzsp1E/s1600/IMG_9270.png)
Elvis Doto Ebrahim Mnyamulu wa Atlanta Georgia, na Bi Salome Ebrahim Mollel wa... Alabama Msiba umetokea leo Saa 11 alfajiri saa za Africa ya Mashariki/nyumbani Tanzania.Mzee Ebrahim alikuwa akitibiwa mjini Atlanta na
Alirudi nyumbani wiki 3 tatu zilizopita kuendelelea na matibabu, hadi alipoitwa kwenye makao ya milele, Ijumaa 01/16/2015.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani Tanzania.(Sinza near Lion...
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Mtanzania15 Sep
P-Square wanunua nyumba Atlanta
ATLANTA, MAREKANI
NYOTA wa muziki kutoka nchini Nigeria ambao wanaunda kundi la P-Square, Paul na Peter Okoye, wameonesha jeuri ya fedha baada ya kununua nyumba Atlanta, nchini Marekani.
Wasanii hao ambao wanatishia kwa utajiri barani Afrika, hiyo itakuwa ni nyumba yao ya tatu kuimiliki nchini Marekani.
Kupitia akaunti ya Instagram ya Paul, aliweka picha mbalimbali za nyumba hiyo na kuandika maneno ambayo yalisema: “Pongezi kwetu kwa kufanikisha zoezi la ununuzi wa nyumba nyingine, hii...