Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fimbo ya Lowassa: Wajumbe 32 kumkabili

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza Kamati ya Kampeni yenye wajumbe 32, wengi wao wakiwa ni wale waliowahi kuvaana na mgombea wa Chadema, Edward Lowassa katika masuala tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Vigogo 32 CCM kumkabili Lowassa

KatuniNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua vigogo 32 kuunda kamati ya kampeni za mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli katika kuhakikisha kinashinda Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Hatua ya kuteuliwa kwa kamati hiyo ambayo itakuwa chini ya uenyekiti wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inaelezwa kuwa ni njia ya kukabiliana na nguvu za mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Umoja wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bulembo ageukwa na wajumbe wake sakata la kwenda kwa Lowassa

Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Taifa na Mbunge wa Korogwe, Steven Ngonyani ‘Prof .Maji Marefu’ akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma hii leo juu ya tuhuma za yeye kutajwa na mmoja wa wajumbe wa baraza hilo kuwa aliratibu na kulazimisha baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kwenda kumuona Mbunge wa Munduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.

Naye Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani, alisema yeye alielezwa kuhusiana na safari hiyo na rafiki yake Vioroka Kajoko.

“Nimekuwa katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK: Fimbo ya kutunyima misaada haifai

2mnn

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Mei 20, 2015.(Picha na IKULU).

116

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kamwe mahusiano kati ya Tanzania na wabia wa maendeleo hayawezi kutawaliwa na vitisho vya wabia hao wa maendeleo kuikatia Tanzania misaada kwa sababu yoyote ile.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NesiWangu: FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA



BOFYA

NesiWangu: FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA: Fimbo yaweza tumika na wazee au watu wa umri wowote wenye uhitaji  wa kuimarisha msingi kabla ya kupiga hatua ili kupunguza  atari za k...


 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba aua mtoto kwa fimbo

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Umuhimu wa fimbo nyeupe kwa wasioona

BADO watu wenye ulemavu mbalimbali wakiwemo wasioona, wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika maisha yao kila siku. Walemavu wasioona hulazimika kutembea na wasaidizi wao katika kufanisha majukumu yao mbalimbali. Licha ya...

 

10 years ago

Habarileo

Ndugai ampiga mpinzani wake fimbo kichwani

MCHAKATO wa kura za maoni ya Ubunge katika Jimbo la Kongwa, juzi uliingia dosari baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai anayeomba ridhaa ya kutetea ubunge wake kudaiwa kumpiga hadi kuzirai mgombea mwenzake.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi mwingine adaiwa kuua kwa fimbo

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

ASKARI  wa Jeshi la Polisi mkoani  Mwanza,  PC Joel Francis (41)  mwenye namba F.4965 anadaiwa kumpiga Donald Magalata (30)  kwa fimbo na kumsababishia kifo.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja  imepita,baada ya askari   mwingine mkoani hapa Dau Elisha  mwenye namba H 852 PC  wa  kituo cha Nyamagana  kumuua askari mwenzake    PC Petro   Matiko wenye namba  H 5950 kwa risasi na baadaye kujipiga  risasi  kichwani na kufariki dunia papo hapo.

Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wamuua baba yao kwa fimbo

JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu, kwa tuhuma za kumpiga fimbo kichwani baba yao mzazi na kumsababishia kifo. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa, Gilles Muroto, alisema tukio hilo ni la mwezi Septemba 15, mwaka huu katika Kijiji cha Mkunyu Kata ya Kikukuru Tarafa ya Mabira wilayani Kyerwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani