NesiWangu: FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XEGgjzdULkw/VR5Fg8aBWlI/AAAAAAAAIag/olHmzRVNVDQ/s72-c/IMG_20150402_215902.jpg)
BOFYA
NesiWangu: FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA: Fimbo yaweza tumika na wazee au watu wa umri wowote wenye uhitaji wa kuimarisha msingi kabla ya kupiga hatua ili kupunguza atari za k...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV13 Jan
Waagizwa kutembelea Rukwa kujifunza ufugaji wa kisasa.
Na Sammy Jumaa Kisika,
Rukwa.
Serikali imeziagiza halmashauri zote nchini kuandaa ziara za mafunzo kwa vitendo kwa kuutembelea mkoa wa Rukwa ili kujifunza namna ya kufanya mageuzi katika ufugaji wa kisasa.
Agizo la Serikali limekuja baada wafugaji wa wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kuanza kufuga kitaalamu kwa kutumia mbegu za ng’ombe za kisasa ambao huzalishwa kwa wafugaji mkoani humo na kupata tija katika sekta hiyo ya mifugo.
Wafugaji wa wilaya ya Nkasi sio tu wanafanikiwa...
10 years ago
Dewji Blog22 May
JK: Fimbo ya kutunyima misaada haifai
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Mei 20, 2015.(Picha na IKULU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kamwe mahusiano kati ya Tanzania na wabia wa maendeleo hayawezi kutawaliwa na vitisho vya wabia hao wa maendeleo kuikatia Tanzania misaada kwa sababu yoyote ile.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa...
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Fimbo ya Lowassa: Wajumbe 32 kumkabili
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Umuhimu wa fimbo nyeupe kwa wasioona
BADO watu wenye ulemavu mbalimbali wakiwemo wasioona, wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika maisha yao kila siku. Walemavu wasioona hulazimika kutembea na wasaidizi wao katika kufanisha majukumu yao mbalimbali. Licha ya...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Baba aua mtoto kwa fimbo
WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...
11 years ago
Habarileo05 Jun
Atuhumiwa kumuua mama yake kwa fimbo
WATU wawili kutoka vijiji tofauti wilayani Rorya wanashikiliwa na polisi mmoja akituhumiwa kumuua mama yake mzazi kwa kumpiga na fimbo na mwingine kwa kumuunguza viganja binti yake akimtuhumu kuiba fedha.
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Polisi mwingine adaiwa kuua kwa fimbo
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
ASKARI wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, PC Joel Francis (41) mwenye namba F.4965 anadaiwa kumpiga Donald Magalata (30) kwa fimbo na kumsababishia kifo.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja imepita,baada ya askari mwingine mkoani hapa Dau Elisha mwenye namba H 852 PC wa kituo cha Nyamagana kumuua askari mwenzake PC Petro Matiko wenye namba H 5950 kwa risasi na baadaye kujipiga risasi kichwani na kufariki dunia papo hapo.
Akizungumza na...
10 years ago
Habarileo30 Jul
Ndugai ampiga mpinzani wake fimbo kichwani
MCHAKATO wa kura za maoni ya Ubunge katika Jimbo la Kongwa, juzi uliingia dosari baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai anayeomba ridhaa ya kutetea ubunge wake kudaiwa kumpiga hadi kuzirai mgombea mwenzake.
10 years ago
Habarileo19 Sep
Watoto wamuua baba yao kwa fimbo
JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu, kwa tuhuma za kumpiga fimbo kichwani baba yao mzazi na kumsababishia kifo. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa, Gilles Muroto, alisema tukio hilo ni la mwezi Septemba 15, mwaka huu katika Kijiji cha Mkunyu Kata ya Kikukuru Tarafa ya Mabira wilayani Kyerwa.