Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waagizwa kutembelea Rukwa kujifunza ufugaji wa kisasa.

Na Sammy Jumaa Kisika,

Rukwa.

 

Serikali imeziagiza halmashauri zote nchini kuandaa ziara za mafunzo kwa vitendo kwa kuutembelea mkoa wa Rukwa ili kujifunza namna ya kufanya mageuzi katika ufugaji wa kisasa.

 

Agizo la Serikali limekuja baada wafugaji wa wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kuanza kufuga kitaalamu kwa kutumia mbegu za ng’ombe za kisasa ambao huzalishwa kwa wafugaji mkoani humo na kupata tija katika sekta hiyo ya mifugo.

 

Wafugaji wa wilaya ya Nkasi sio tu wanafanikiwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JKT waagizwa kujitegemea kwa kilimo, ufugaji

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Hussein Mwinyi ametaka vikosi vya jeshi la Kujenga Taifa kujitegemea katika ufugaji na kilimo, ili kutoa fursa kwa vijana kutambua kwamba kilimo ndio kinachoweza kuwatoa katika umaskini.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Habarileo

Serikali yapania uvuvi na ufugaji wa kisasa

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus KamaniTANZANIA imedhamiria kuanzisha mpango wa ufugaji na uvuvi wa kisasa ili kuiwezesha sekta hiyo kuiingizia taifa pato kubwa.

 

10 years ago

Vijimambo

NesiWangu: FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA



BOFYA

NesiWangu: FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA: Fimbo yaweza tumika na wazee au watu wa umri wowote wenye uhitaji  wa kuimarisha msingi kabla ya kupiga hatua ili kupunguza  atari za k...


 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya

Manyanda

Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda.

Na Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya kwanza ya ziara yake katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji hiyo.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume hiyo iliyotolewa leo, Jumatano (Septemba 10, 2014) na Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda, ziara hiyo itaanza tarehe 17 mwezi huu na kumalizika tarehe 6 mwezi ujao.

Kwa mujibu...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

Wengi wanufaika na semina ya kilimo na ufugaji wa kisasa iliyoendeshwa na mjasiriamali Bi. Mary David jijini Dar

 Mjasiriamali na Muandaaji wa wa Semina ya Kilimo na Ufugaji wa Kisasa Bi. Mary David Kinong’o akitoa Maelezo juu ya Kilimo na Ufugaji wa kisasa ambapo aliwasisitiza Vijana na watu wote kujiunga na ujasiliamali na kuunda vikundi mbalimbali ili kujiendeleza kiuchumi. IMG_0018 Mmoja wa wajasiriamali ambaye pia ni Mkulima na Mfugaji akichangia uzoefu wake wa jinsi alivyo nufaika na mafunzo kama haya na mpaka sasa anajitegemea na Kupata kipatochake na kuwasaidia wengine. Wa kwanza Kulia ni Stella...

 

10 years ago

Michuzi

WENGI WANUFAIKA NA SEMINA YA KILIMO NA UFUGAJI WA KISASA ILIYO ENDESHWA NA MJASIRIAMALI BI. MARY DAVID JIJINI DAR

Kilimo na Ufugaji wa Kisasa kwa maendeleo ya Jamii na kukataa umasikini kwa kujiajili ndiyo kauli kuu iliyotawala katika Semina ya Kilimo na Ufugaji wa kisasa iliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo washiriki walipata mafunzo na Elimu Bora juu ya Kilimo bora cha kisasa pamoja na ufugaji Semina iliyo ongozwa na Mjasiriamali mwanamke ambaye amethubutu Bi. Mary David Kinong'o.
Katika Semina hiyo kulikuwa na mafunzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Kilimo cha kisasa cha kutumia Green houses ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani