Finland yaipongeza Zanzibar katika uwazi wa taarifa za ardhi
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Nd. Ali Khalid Mirza (Kushoto) akiwasilisha hotuba yake kwa mgeni rasmi Balozi wa Finland nchini Tanzania Bi Sinnika Antilla (Kulia) katika Uzinduzi wa Mfumo wa Mtandao wa Upatikanaji Taarifa za Ardhi Zanzibar unaojulikana kama (Zanzibar Land Information Service) (ZALIS) uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Ardhi iliyoko Forodhani Mjini Zanzibar. (Picha na Miza Othman Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YASIKITISHWA NA BAADHI YA WATENDAJI WA TAASISI YA ARDHI KUTOKUWA WAAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAO
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa masikitiko hayo wakati akijibu Hoja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kufuatia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake aliyoiwasilisha katika Kikao cha Bajeti cha...
10 years ago
Bongo528 Apr
Taarifa: Uhalali na uwazi wa kura za Tuzo za Watu
5 years ago
MichuziRAIS DK.SHEIN AHAKIKI TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la Uhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la WApiga Kura Zanzibar , katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jaji.Hamid Mahmoud,(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihakiki Taarifa...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Ujumbe wizara ya ardhi wafurahia utendaji wa Nchi ya Singapore namna ya utawala bora katika ardhi
Ujumbe wa Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi umemaliza ziara yake nchini Singapore huku ukiwa umejifunza mambo muhimu ikiwemo kuwepo utawala wa sheria katika usimamizi wa ardhi, kutokuwepo rushwa, nidhamu na uaminifu mkubwa wa watumishi wa umma, jamii inayopenda kujitegemea na usalama wa hali ya juu. Yafuatayo ni matukio ya ziara hiyo kwenye Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Singapore(URA) kama yalivyoratibiwa na Muungano Saguya.
Ujumbe wa NHC...
9 years ago
Vijimambo9 years ago
Michuzi21 Oct
SMZ YAIPONGEZA UN KWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KIMAENDELEO VISIWANI ZANZIBAR
Na Mwandishi wetu, ZanzibarSERIKALI ya mapinduzi Zanzibar imesema kuwa itaendelea kuthamini...
9 years ago
GPLSMZ YAIPONGEZA UN KWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KIMAENDELEO VISIWANI ZANZIBAR
10 years ago
MichuziJK salutes the President of the Republic of Finland on the occasion of the 97th Anniversary of Finland’s Independence
H.E President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. Sauli Niinisto, the President of the Republic of Finland on the occasion of the 97th Anniversary of Finland’s Independence on 6th December, 2014.“His Excellency Sauli Niinisto, The President of the Republic of Finland, Helsinki, FINLAND.It is my pleasure on behalf of the people and the Government of the United Republic...
10 years ago
Michuzi15 May