Flashback Pride Fm Sept 20 2015 na Mubelwa Bandio

Photo Credits: lostpedia.wikia.com
FLASHBACK ni kipindi kutoka PRIDE FM Mtwara Tanzania,kinachokupatia fursa ya kusikiliza miziki iliyotamba katika miaka iliyopita.
Kipindi hiki hutayarishwa na kutangazwa na Mussa Yusuph kila Jumapili kuanzia saa nane kamili mchana mpaka kumi kamili jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.
Wiki hii (kama ilivyokuwa kwa wiki mbili zilizopita), kipindi kimetayarishwa kutoka KILIMANJARO STUDIO zilizopo Beltsville MD na Mubelwa Bandio KARIBU
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Flashback ya Pride Fm Sept 13 2015 na Mubelwa Bandio na DJ Luke Joe

FLASHBACK ni kipindi kutoka PRIDE FM Mtwara Tanzania,kinachokupatia fursa ya kusikiliza miziki iliyotamba katika miaka iliyopita.
Kipindi hiki hutayarishwa na kutangazwa na Mussa Yusuph kila Jumapili kuanzia saa nane kamili mchana mpaka kumi kamili jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.
Wiki iliyopita (kama ilivyokuwa kwa wiki iliyotangulia), kipindi kilitayarishwa na kutangazwa toka KILIMANJARO STUDIO zilizopo Beltsville MD na Mubelwa Bandio na mgeni wa wiki,...
10 years ago
Michuzi.jpg)
PATA MISHUMAA YA KALE na DJ LUKE na MUBELWA BANDIO from Washington DC
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
Sikiliza MISHUMAA YA KALE live....Dj Luke na Mubelwa Bandio

Ungana SASA na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kitakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1 kamili usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST)
Ungana nasi kupitia www.kwanzaproduction.com na kwa uliye...
10 years ago
Vijimambo
DR. CRISPIN SEMAKULA KUZUNGUMZA NA MUBELWA BANDIO SIKU YA JUMATATU USIKOSE

Siku ya Jumatatu Januari 5, 2015 Dr. Crispin Semakula atazungumuza na Mubelwa Bandio katika kipindi cha Huyu na Yule kitakachokuwa kinarushwa kila siku ya Jumatatu na kinachotoa fulsa kujua Watu mbalimbali kutoka sehemu tofauti na mchango wao kwa jamii inayowazunguka. Dr. Crispin Semakula ni mmoja wao na mwanaDiaspora aliyefanya mengi makubwa ikiwemo kujenga Hospitali Tanzania USIKOSE KUMSIKILIZA
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
SALAM ZA MDAU MUBELWA BANDIO: Mwaka unakatika....Tumesonga mbele ama tumerudi nyuma???

Ni harakati kubwa sana hasa katika kusonga na maisha yetu ya kila siku na pia kuendeleza gurudumu hili la blogsNimekuwa nikituma makala, vipindi na kazi zangu kwenu nanyi mmekuwa wakarimu sana kuzipokea. Ushirikiano ambao umenifanya nizidi kujivunia kuwa mmoja wa blogaLakini...
10 years ago
Vijimambo
Reggae Time ya Pride FM.........May 16 2015

Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba

10 years ago
Vijimambo
Reggae Time ya Pride Fm..........May 23 2015

10 years ago
Vijimambo
Reggae Time ya Pride FM...... July 4 2015

Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania