Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PATA MISHUMAA YA KALE na DJ LUKE na MUBELWA BANDIO from Washington DC

Jiunge na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio katika kipindi cha MISHUMAA YA KALE.Kipindi kinachotusikiliza nyimbo nyingi za miaka iliyopita na habari juu yazo Jiunge nasi 5:00pm EST kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com ama bordermediagroup.com.Kama una TuneIn app, ingia http://tun.in/sfdl0Kwa mlio Marekani na Canada, tusikilize kwa kupiga simu 716 748 0086

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Sikiliza MISHUMAA YA KALE live....Dj Luke na Mubelwa Bandio

Photo Credits: Ye Olde Vivyl Shoppe Baada ya pilika za wiki nzima, na mchamchaka wa maisha, sasa unakuja wakati wa kuburudika na muziki halisi wa zamani.
Ungana SASA na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kitakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1 kamili usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST)
Ungana nasi kupitia www.kwanzaproduction.com na kwa uliye...

 

9 years ago

Vijimambo

Flashback ya Pride Fm Sept 13 2015 na Mubelwa Bandio na DJ Luke Joe

Photo Credits: lostpedia.wikia.com
FLASHBACK ni kipindi kutoka PRIDE FM Mtwara Tanzania,kinachokupatia fursa ya kusikiliza miziki iliyotamba katika miaka iliyopita.
Kipindi hiki hutayarishwa na kutangazwa na Mussa Yusuph kila Jumapili kuanzia saa nane kamili mchana mpaka kumi kamili jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.
Wiki iliyopita (kama ilivyokuwa kwa wiki iliyotangulia), kipindi kilitayarishwa na kutangazwa toka KILIMANJARO STUDIO zilizopo Beltsville MD na Mubelwa Bandio na mgeni wa wiki,...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

Flashback Pride Fm Sept 20 2015 na Mubelwa Bandio

Photo Credits: lostpedia.wikia.com
FLASHBACK ni kipindi kutoka PRIDE FM Mtwara Tanzania,kinachokupatia fursa ya kusikiliza miziki iliyotamba katika miaka iliyopita.
Kipindi hiki hutayarishwa na kutangazwa na Mussa Yusuph kila Jumapili kuanzia saa nane kamili mchana mpaka kumi kamili jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.
Wiki hii (kama ilivyokuwa kwa wiki mbili zilizopita), kipindi kimetayarishwa kutoka KILIMANJARO STUDIO zilizopo Beltsville MD na Mubelwa Bandio KARIBU

 

10 years ago

Vijimambo

DR. CRISPIN SEMAKULA KUZUNGUMZA NA MUBELWA BANDIO SIKU YA JUMATATU USIKOSE

Dr. Crispin Semakula kutoka Minnesota
Siku ya Jumatatu Januari 5, 2015 Dr. Crispin Semakula atazungumuza na Mubelwa Bandio katika kipindi cha Huyu na Yule kitakachokuwa kinarushwa kila siku ya Jumatatu na kinachotoa fulsa kujua Watu mbalimbali kutoka sehemu tofauti na mchango wao kwa jamii inayowazunguka. Dr. Crispin Semakula ni mmoja wao na mwanaDiaspora aliyefanya mengi makubwa ikiwemo kujenga Hospitali Tanzania USIKOSE KUMSIKILIZA 

 

10 years ago

Michuzi

SALAM ZA MDAU MUBELWA BANDIO: Mwaka unakatika....Tumesonga mbele ama tumerudi nyuma???

 Amani, Heshima na Upendo kwa wana-blog wote.Kwanza namshukuru MUNGU kwa baraka ya uhai ambayo mimi nawe tunayo mpaka sasa. Pili nikupe pole kwa harakati za maisha ambazo sote twazipitia kufanikisha yale mema tupendayo.
Ni harakati kubwa sana hasa katika kusonga na maisha yetu ya kila siku na pia kuendeleza gurudumu hili la blogsNimekuwa nikituma makala, vipindi na kazi zangu kwenu nanyi mmekuwa wakarimu sana kuzipokea. Ushirikiano ambao umenifanya nizidi kujivunia kuwa mmoja wa blogaLakini...

 

10 years ago

Michuzi

Ni MISHUMAA YA KALE

Uko macho???Ingia www.vijimamboradio.com twende pamojaDj Luke Joe kwenye mashine na Mubelwa Bandio kwenye mic

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya Kale ....Kumradhi

Kwa wale wadau wote wa MISHUMAA YA KALE, tunaomba radhi kwa kukosekana kwa kipindi hapo jana.
Ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu
Lakini tuna imani kuwa Ijumaa hii mambo yatakaa sawa nasi kukuletea kipindi hicho.
Kama ulikosa kipindi chochote kilichopita, BOFYA HAPA.
Kwa kipindi cha wiki iliyopita, sikiliza hapa chini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani