FLORA MKIOANA MASTAA MNADUMISHA UAMINIFU
![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtranHSuIt7Bsih71iP3IvGLryCFNur6KkMmGg-Ji29kIM6gEm-0ZUH1EFdtJjsnx56BOLS1LOayEaGADkclSK-0/FLORA.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amesema maisha ya kuoana staa kwa staa yanadumisha uaminifu na ndiyo maana anajisikia furaha kuolewa na Hamis Baba ‘H-Baba’, staa wa Bongo Fleva. H-Baba na mkewe Flora Mvungi wakilishana keki wakati wa bethidei ya H-Baba hivi karibuni. Akipiga stori na Stori 3, Flora alisema maisha anayoishi yeye ni tofauti sana na maisha wanayoishi wanandoa wengine,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi09 Sep
KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)
Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Uaminifu huboresha mapenzi
KARIBU mpenzi msomaji wa safu ya Urafiki na Mahusiano, ili tuweze kwenda sambamba kuhusiana na mada tunayoizungumzia leo ya kuboresha mahusiano. Katika mahusiano yeyote yale, iwe kwenye ndoa au la,...
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Dubai inatisha kwa uaminifu
11 years ago
Tanzania Daima15 May
‘Viongozi wa dini wamepoteza uaminifu’
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Victorious la mjini Moshi, Sixbert Mkelemi, amesema hivi sasa viongozi wa dini wanafanyiwa upekuzi katika viwanja vya ndege tofauti na miaka ya nyuma kutokana na...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Uaminifu, nidhamu huleta mafanikio
KATIKA maisha hakuna njia ya mkato ya mafanikio. Uwezekano wa kufanikiwa upo, thawabu ipo lakini mpaka uwe na uhitaji huo. Ili ufanikiwe, yakupasa ufanye kazi kwa bidii, kwani ni muhimu...
10 years ago
Vijimambo19 Nov
KWA NINI UAMINIFU UMEPUNGUA?
![](http://api.ning.com/files/7JAc5CeHqZ2xps6rULFRYgPyTHdgszWv6fHnr-Djm2ZwIUzQjOPxy7Ew7*IREfFkt1UUzBF34QkUPbhXkQ2Flx2Z-SaBVIGF/couplehavingfight.jpg?width=650)
HABARI zenu wadau wa safu hii. Tumekutana tena kujadiliana mambo yetu ya kikubwa wakati huu mwaka unapokatika. Wengine wanafunga hesabu kwa faida na wengine wanajikusanyia madeni.
Maisha ya kimapenzi kila siku yana mapya, wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kuzungumza, lakini siku moja isiyo na jina wanajikuta wanapendana upya na kupiga stori kana kwamba hakuna kilichotokea jana yake.
Siku hizi kutoka nje ya ndoa tumekupa jina jipya, tunasema amechepuka badala ya kubaki njia kuu. Juzijuzi...
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Punda watuzwa kwa uaminifu na bidii
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Fundi anayetengeneza baiskeli kwa uaminifu (2)