Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI UAMINIFU UMEPUNGUA?


HABARI zenu wadau wa safu hii. Tumekutana tena kujadiliana mambo yetu ya kikubwa wakati huu mwaka unapokatika. Wengine wanafunga hesabu kwa faida na wengine wanajikusanyia madeni.

Maisha ya kimapenzi kila siku yana mapya, wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kuzungumza, lakini siku moja isiyo na jina wanajikuta wanapendana upya na kupiga stori kana kwamba hakuna kilichotokea jana yake.

Siku hizi kutoka nje ya ndoa tumekupa jina jipya, tunasema amechepuka badala ya kubaki njia kuu. Juzijuzi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Dubai inatisha kwa uaminifu

Dubai imejinyakulia sifa ya kipekee katika kupima Imani za jamii kwa pochi iliyoangushwa mtaani,na mara ikarejeshwa kwa mhusika .

 

10 years ago

Mwananchi

Fundi anayetengeneza baiskeli kwa uaminifu (2)

Kabla ya kujitosa kwenye ushonaji wa viatu, Bupe aliwahi kujikita zaidi kwenye ajira ya ufundi baiskeli katika eneo la Machimbo, Jet-Lumo iliyopo Gongo la Mboto ikiwa ni sehemu ya kujiimarisha zaidi kiuchumi baada ya kuyumba kwa shughuli zake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Punda watuzwa kwa uaminifu na bidii

Punda wawili wamepatiwa tuzo na mwanasiasa mmoja wakielezwa kuwa na uaminifu kuliko binadamu

 

5 years ago

CCM Blog

SMZ YASIKITISHWA NA BAADHI YA WATENDAJI ARDHI KWA KUKOSA UAMINIFU


Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inasikitishwa na tabia ya baadhi ya Watendaji wa Taasisi zinazosimamia masuala ya Ardhi Nchini kuendelea kutokuwa waaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao kitendo ambacho huongeza migogoro ndani ya Jamii Nchini.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa masikitiko hayo wakati akijibu Hoja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kufuatia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake aliyoiwasilisha katika Kikao cha Bajeti cha...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yashutumu ukiukaji wa viapo vya uaminifu kwa taifa

Assah MwambeneSERIKALI imesema madai ya baadhi ya vijana waliohitimu katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuruhusiwa kujiunga na vikundi vya majeshi ya nchi jirani yanayopigana ni kukosa uzalendo na uaminifu kwa taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi: Uhalifu umepungua Tanga

MAKOSA dhidi ya uhalifu wa kibinadamu katika Jiji la Tanga yamepungua kwa asilimia 2.64 kwani kwa mwaka 2012 yaliripotiwa matukio 492 ukilinganisha na mwaka 2013 ambapo yalikuwa 479. Akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu - Vuai Ally Vuai

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya  uwezeshaji wa chama hicho kwa  mabalozi (viongozi wa mashina) wa wilaya ya Lindi mjini.
Vuai...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu — Vuai Ally Vuai

33

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi

Matukio ya kutishia amani ya nchi  na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu  wakazi wa maeneo yao.

Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya  uwezeshaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waambiwa uhalifu Zanzibar umepungua

Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Pereira Ame SilimaMATUKIO ya uhalifu Zanzibar yamepungua kutoka matukio 10 kwa mwaka hadi kufikia matatu au manne kutokana na kudhibiti maeneo ya kuingilia wageni pamoja na kufanywa kwa operesheni mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani