Wabunge waambiwa uhalifu Zanzibar umepungua
MATUKIO ya uhalifu Zanzibar yamepungua kutoka matukio 10 kwa mwaka hadi kufikia matatu au manne kutokana na kudhibiti maeneo ya kuingilia wageni pamoja na kufanywa kwa operesheni mbalimbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Polisi: Uhalifu umepungua Tanga
MAKOSA dhidi ya uhalifu wa kibinadamu katika Jiji la Tanga yamepungua kwa asilimia 2.64 kwani kwa mwaka 2012 yaliripotiwa matukio 492 ukilinganisha na mwaka 2013 ambapo yalikuwa 479. Akizungumza na...
10 years ago
Habarileo26 Sep
Wabunge watishwa, waambiwa watajuta
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawasaka watu wanaosambaza vipeperushi vya vitisho dhidi ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, watakaoingia bungeni leo ambapo pia watu hao walichora ukuta wa Jengo la Makao Makuu Chama Cha Mapinduzi (CCM).
5 years ago
BBCSwahili21 Feb
Urusi inajaribu kumsaidia rais Trump kushinda uchaguzi wa urais, wabunge wa marekani waambiwa
10 years ago
Habarileo03 Apr
Wabunge wataka utekelezaji sheria uhalifu wa mtandao
WABUNGE wamekemea vitendo vilivyokithiri vya uhalifu wa mtandao nchini, na kutaka Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015, uliopitishwa, Sheria yake itumike ipasavyo, ili kudhibiti uhalifu huo wa mtandao.
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Mihadarati yaongeza uhalifu Zanzibar
10 years ago
Habarileo22 Oct
Zanzibar kutumia kamera kudhibiti uhalifu
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaweka kamera katika maeneo mbalimbali Unguja na Pemba kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uhalifu.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Uhalifu huu unaiua Zanzibar kiuchumi
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Zanzibar kufunga CCTV kudhibiti uhalifu
10 years ago
Vijimambo19 Nov
KWA NINI UAMINIFU UMEPUNGUA?
![](http://api.ning.com/files/7JAc5CeHqZ2xps6rULFRYgPyTHdgszWv6fHnr-Djm2ZwIUzQjOPxy7Ew7*IREfFkt1UUzBF34QkUPbhXkQ2Flx2Z-SaBVIGF/couplehavingfight.jpg?width=650)
HABARI zenu wadau wa safu hii. Tumekutana tena kujadiliana mambo yetu ya kikubwa wakati huu mwaka unapokatika. Wengine wanafunga hesabu kwa faida na wengine wanajikusanyia madeni.
Maisha ya kimapenzi kila siku yana mapya, wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kuzungumza, lakini siku moja isiyo na jina wanajikuta wanapendana upya na kupiga stori kana kwamba hakuna kilichotokea jana yake.
Siku hizi kutoka nje ya ndoa tumekupa jina jipya, tunasema amechepuka badala ya kubaki njia kuu. Juzijuzi...