Wabunge watishwa, waambiwa watajuta
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawasaka watu wanaosambaza vipeperushi vya vitisho dhidi ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, watakaoingia bungeni leo ambapo pia watu hao walichora ukuta wa Jengo la Makao Makuu Chama Cha Mapinduzi (CCM).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Feb
Wabunge waambiwa uhalifu Zanzibar umepungua
MATUKIO ya uhalifu Zanzibar yamepungua kutoka matukio 10 kwa mwaka hadi kufikia matatu au manne kutokana na kudhibiti maeneo ya kuingilia wageni pamoja na kufanywa kwa operesheni mbalimbali.
5 years ago
BBCSwahili21 Feb
Urusi inajaribu kumsaidia rais Trump kushinda uchaguzi wa urais, wabunge wa marekani waambiwa
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Wazanzibari watishwa bungeni
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba waliotokana na kundi la 201, wameanza kupokea ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huo ambao MTANZANIA Jumapili iliupata, umeanza kusambazwa jana asubuhi kwa simu za mkononi na unawalenga wajumbe wa kundi hilo wanaotoka Zanzibar.
Unawataka wajumbe hao wasishiriki katika hatua ya kupiga kura ya kupitisha Rasimu ya Katiba inayotarajia kuanza Septemba 2 hadi Oktoba 4.
Ujumbe huo ambao haujajulikana ulianzia wapi na umesambazwa na kundi...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Wajumbe wa Z’bar watishwa
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Wananchi watishwa kunyang’anywa uraia
Na Elias Msuya, Katavi
MAKADA wa Umoja wa Katiba ya Wananchi, (Ukawa), wamewataka wananchi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, kutotishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa watanyang’anywa uraia endapo watamchagua mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.
Akizungumza na wananchi wa iliyokuwa kambi ya wakimbizi ya Katumba jana, Katibu wa Chadema Mkoa wa Katavi, Almas Ntije alisema CCM imekuwa ikiwatisha wananchi hao waliopewa uraia mwaka jana, kuwa watanyang’anywa uraia wao kama watachagua...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Msikubali kuibiwa, Mtwara waambiwa
9 years ago
Habarileo10 Nov
Vijana waambiwa wawe wabunifu
VIJANA wameshauriwa kuwa wabunifu wa miradi mbalimbali na kufikiri njia mbadala za kujipatia kipato ili kuweza kujiajiri na kuepukana na ajira tegemezi.
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Msifiche uvunguni kelele za ufisadi, UKAWA waambiwa
Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini, Mwalimu Mussa Ramadhani Sima, akiomba kura kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika maeneo ya soko kuu mjini Singida.
Mkereketwa maarufu wa CCM jimbo la Singida mjini na mkazi wa Majengo, Mohammed Salum Masanja, akiwa na mtoto wake wa kiume kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika maeneo ya soko kuu. Mohammed amedai kuwa kila mkutano wa kampeni za CCM anahudhuria na mtoto wake ikiwa ni mpango mahususi kumjengea mazingira mazuri mtoto huyo aje...
10 years ago
Habarileo09 Jul
Wakulima waambiwa waachane na kilimo cha mazoea
KITUO cha Utafiti na Mabadiliko ya Tabia Nchi (CCCS) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimewatahadharisha wakulima nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo.