Msikubali kuibiwa, Mtwara waambiwa
Wananchi wa Mtwara, hususan wakulima wa korosho, wametakiwa kuacha unyonge, badala yake wafanye kadri wanavyoweza kuhakikisha haki zao zinaheshimiwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Sep
Wabunge watishwa, waambiwa watajuta
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawasaka watu wanaosambaza vipeperushi vya vitisho dhidi ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, watakaoingia bungeni leo ambapo pia watu hao walichora ukuta wa Jengo la Makao Makuu Chama Cha Mapinduzi (CCM).
9 years ago
Habarileo10 Nov
Vijana waambiwa wawe wabunifu
VIJANA wameshauriwa kuwa wabunifu wa miradi mbalimbali na kufikiri njia mbadala za kujipatia kipato ili kuweza kujiajiri na kuepukana na ajira tegemezi.
10 years ago
Michuzi06 Dec
10 years ago
Habarileo04 Feb
Wabunge waambiwa uhalifu Zanzibar umepungua
MATUKIO ya uhalifu Zanzibar yamepungua kutoka matukio 10 kwa mwaka hadi kufikia matatu au manne kutokana na kudhibiti maeneo ya kuingilia wageni pamoja na kufanywa kwa operesheni mbalimbali.
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Msifiche uvunguni kelele za ufisadi, UKAWA waambiwa
Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini, Mwalimu Mussa Ramadhani Sima, akiomba kura kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika maeneo ya soko kuu mjini Singida.
Mkereketwa maarufu wa CCM jimbo la Singida mjini na mkazi wa Majengo, Mohammed Salum Masanja, akiwa na mtoto wake wa kiume kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika maeneo ya soko kuu. Mohammed amedai kuwa kila mkutano wa kampeni za CCM anahudhuria na mtoto wake ikiwa ni mpango mahususi kumjengea mazingira mazuri mtoto huyo aje...
10 years ago
Habarileo09 Jul
Wakulima waambiwa waachane na kilimo cha mazoea
KITUO cha Utafiti na Mabadiliko ya Tabia Nchi (CCCS) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimewatahadharisha wakulima nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo.
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Walimu wanaongoza kuibiwa mishahara
IMEELEZWA kwamba fedha za walimu wengi huibwa kwa njia ya mtandao licha ya umuhimu wa kada hiyo katika jamii ambayo huzalisha wataalamu mbalimbali. Hayo yalibainishwa jana na Meneja wa Benki...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Subirini kupiga kura, sio kuandamana waambiwa Singida
Baadhi ya magari ya jeshi la polisi mkoa wa Singida, yakiwa yamebeba askari kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wanachama wa CHADEMA ya kupiga kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba. Hadi tunakwenda mtamboni,wanachama hao pamoja na mabango yao walishitukia nguvu ya polisi na kufuta maandamano hayo.
Na Nathaniel Limu, Singida
KAMANDA wa jeshi la polisi mkoa wa Singida,SACP,Geofrey Kamwela amewashauri wananchi kuacha kupoteza muda wao bure kushiriki maandamano ya kupinga Bunge Maalum la Katiba na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRAT-g5exRnycqZZvByszAot*kVF3xml7z00bilD8vKiim0i89t1TeOrOSNz4Hk4*AdETliQXVGh6Q*s7vBFjv3sQ/mama.jpg?width=650)
MAMA ADAI KUIBIWA MTOTO LEBA