MAMA ADAI KUIBIWA MTOTO LEBA
![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRAT-g5exRnycqZZvByszAot*kVF3xml7z00bilD8vKiim0i89t1TeOrOSNz4Hk4*AdETliQXVGh6Q*s7vBFjv3sQ/mama.jpg?width=650)
Stori: Chande abdallah na Deogratius Mongela Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jinala Shakila Bakari (30),mkazi wa Mbagala jijini Dar, ametoa madai mazito kuwa manesi wa hospitali moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Mbagala wamemuiba mmoja wa watoto wake wawili aliojifungua Machi 28, mwaka huu. Mama Shakila Bakari (30), mkazi wa Mbagala jijini Dar. Akizungumza na gazeti hili juzi, Shakila alisema siku ya tukio majira ya saa 6...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ68YchqHfbbDsY2e6OzxW8mLiRTAnECwur-mP71hPz7IkZjHoSh7EGRxCgwzOjICf3fbXLPIsmOQ5z8Rm1Uw8c6d/BACKUWAZI.jpg?width=650)
SKENDO WODINI: MAMA ADAI KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME, APEWA WA KIKE TENA MAITI
9 years ago
Bongo Movies01 Nov
Mama Kanumba Adai Kutukanwa na Mama Lulu
MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amedai kwamba mama wa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresa Kalugira amemtukana matusi mazito yaliyomsababishia presha na vidonda vya tumbo.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama Kanumba alisema wiki mbili zilizopita mama Lulu alimpigia simu usiku wa manane na kuanza kumporomoshea matusi na kumtaka aache kumfuatilia na mwanaye.
“Kweli hayo matusi yameniumiza, mpaka sasa ninaumwa kwani presha inapanda kila...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-bkRGK8_6IEA/UxrR5XihF1I/AAAAAAAAhZ0/Dj9FRfIW5Zg/s1600/IMG-20140308-WA0002.jpg?width=640)
MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Ay_N8iFO_cs/VYpB7K-SYqI/AAAAAAABQjs/z-sMB7LX0Xw/s72-c/Sugu%2Bna%2BSasha.jpg)
SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ay_N8iFO_cs/VYpB7K-SYqI/AAAAAAABQjs/z-sMB7LX0Xw/s640/Sugu%2Bna%2BSasha.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TLBch-xO68U/VYpB4vR4EdI/AAAAAAABQjk/mStD8WmafcU/s640/Faiza%2BAlly%2Bna%2BSasha.jpg)
Hiki ndicho amekiandika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Y2sLcv5vP7nw-QFvpiNsc8PtFvXSf*9nba*qZZn4G1UKNBb7tGZbE8AEoQ*VtgKL2MoOU8pELkAdEkoYC*cfeZ/MTOTOAJIRA.jpg)
MTOTO AAJIRIWA, ADAI KUTESWA
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Mtoto adai mke wa ‘mbakaji’ alificha siri
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/03AO119erRM/default.jpg)
MCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F2.bp.blogspot.com%2F-4HUCfASN9CI%2FVNPo79czpzI%2FAAAAAAADXsQ%2FItzW6auTit4%2Fs1600%2FGWAJIMA.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha. Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote...