Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO AAJIRIWA, ADAI KUTESWA

Stori: Shani Ramadhani Mbaya! Mtoto mwenye umri wa miaka (14) anadaiwa kuajiriwa akiwa na umri mdogo kinyume cha sheria za kazi kisha kupokea kipigo na manyanyaso kutoka kwa mtu anayedai ni bosi wake aliyemtaja kwa jina moja la Agness. Mtoto mwenye umri wa miaka (14) ambaye ni mwenyeji wa Rombo mkoani Kilimanjaro anayeripoti manyanyaso kutoka kwa mtu anayedaiwa kuwa bosi wake. Kwa mujibu wa mashuhuda, mbali na kuwepo kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mshitakiwa adai kuteswa, kudhalilishwa polisi

MSHITAKIWA katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata sehemu za siri alikominywa na polisi na kuingiziwa mti kwenye haja kubwa.

 

11 years ago

GPL

MAMA ADAI KUIBIWA MTOTO LEBA

Stori: Chande abdallah na Deogratius Mongela  Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jinala Shakila Bakari (30),mkazi wa Mbagala jijini Dar, ametoa madai mazito kuwa manesi wa hospitali moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Mbagala wamemuiba mmoja wa watoto wake wawili aliojifungua Machi 28, mwaka huu. Mama Shakila Bakari (30), mkazi wa Mbagala jijini Dar. Akizungumza na gazeti hili juzi, Shakila alisema siku ya tukio majira ya saa 6...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto adai mke wa ‘mbakaji’ alificha siri

Mtoto wa kike wa miaka 13 aliyenajisiwa na mwajiri wake, ameeleza kuwa alimtaarifu mke wa mtuhumiwa kuhusu vitendo hivyo, lakini wawili wakasameheana na kumtaka asiwaambie watu.

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE


Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli  wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya  maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha. Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rihanna aajiriwa na kamapuni ya Puma

Msanii wa muziki nchini Marekani Rihanna anajiandaa kuanza kufanya kazi katika kampuni ya michezo Puma.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkalimani wa mazishi ya Mandela aajiriwa

Mkalimani katika mazishi ya Mandela apata ajira

 

10 years ago

GPL

SKENDO WODINI: MAMA ADAI KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME, APEWA WA KIKE TENA MAITI

Na Mwandishi Wetu, Moro
SKENDO mpya imeikumba Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kufuatia mwanamke mmoja, Rukia Fikiri (pichani) kudai kujifungua mtoto wa kiume kisha baadaye kukabidhiwa mtoto wa kike akiwa amefariki dunia, Uwazi linatiririka.Tukio hilo la kushangaza lilijiri Machi 25, mwaka huu katika wodi ya wazazi ya hospitali hiyo. Rukia Fikiri(kulia) akiwa na ndugu zake wakiwa wamebeba maiti ya mtoto wanaodai...

 

10 years ago

CloudsFM

Sugu Amedanganya Bunge Kuhusu Matunzo ya Mtoto...Adai Hayupo Tayari Kuyamaliza Kifamilia: Faiza

Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' alidanganya Bunge alipodai hutoa sh.500,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.

Na ingawa Sugu alidai bungeni pia kuwa hulipa ada ya sh. milioni tatu kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto huyo, Faiza amedai ni kwa nusu ya pili tu ya kipindi cha miaka miwili ambayo amekuwa akisoma.

Aidha, mwanamitindo Faiza amesema hayupo tayari kumaliza kifamilia mvutano wa malezi ya mtoto na 'Sugu', kama Mbunge huyo...

 

11 years ago

GPL

MAMA AJIFANYA NESI, AAJIRIWA HOSPITALINI KWA MUDA MREFU, ADAKWA!

Stori: Brighton Masalu na Andrew Carlos Hatari sana! Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas, mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 45 na 50, mkazi wa Tabata, Dar, ametiwa mbaroni kwa madai ya kughushi vyeti vya unesi kisha kufanya kazi ya uuguzi katika hospitali mbalimbali, akijishughulisha na upasuaji bila kuwa na utaalamu wa taaluma hiyo. Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas ametiwa mbaroni kwa madai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani