Wazanzibari watishwa bungeni
Bunge
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba waliotokana na kundi la 201, wameanza kupokea ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huo ambao MTANZANIA Jumapili iliupata, umeanza kusambazwa jana asubuhi kwa simu za mkononi na unawalenga wajumbe wa kundi hilo wanaotoka Zanzibar.
Unawataka wajumbe hao wasishiriki katika hatua ya kupiga kura ya kupitisha Rasimu ya Katiba inayotarajia kuanza Septemba 2 hadi Oktoba 4.
Ujumbe huo ambao haujajulikana ulianzia wapi na umesambazwa na kundi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Oct
Nimenusurika kupigwa na Wazanzibari mara mbili bungeni
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Wajumbe wa Z’bar watishwa
10 years ago
Habarileo26 Sep
Wabunge watishwa, waambiwa watajuta
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawasaka watu wanaosambaza vipeperushi vya vitisho dhidi ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, watakaoingia bungeni leo ambapo pia watu hao walichora ukuta wa Jengo la Makao Makuu Chama Cha Mapinduzi (CCM).
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Wananchi watishwa kunyang’anywa uraia
Na Elias Msuya, Katavi
MAKADA wa Umoja wa Katiba ya Wananchi, (Ukawa), wamewataka wananchi wa Jimbo la Nsimbo mkoani Katavi, kutotishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa watanyang’anywa uraia endapo watamchagua mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.
Akizungumza na wananchi wa iliyokuwa kambi ya wakimbizi ya Katumba jana, Katibu wa Chadema Mkoa wa Katavi, Almas Ntije alisema CCM imekuwa ikiwatisha wananchi hao waliopewa uraia mwaka jana, kuwa watanyang’anywa uraia wao kama watachagua...
11 years ago
Habarileo02 Jan
Dk Shein apongeza Wazanzibari
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewapongeza Wazanzibari kwa kuonesha umoja na mshikamano na uzalendo kwa kuweka pembeni tofauti zao za kisiasa.
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Muungano ulivyowavuruga Wazanzibari
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Wazanzibari waandamana London
Na Mwandishi Wetu
WAZANZIBARI wanaoishi nchini Uingereza jana wamefanya maandamano kutaka nchi hiyo iingilie kati na kutoa shindikizo kwa Serikali ya Tanzania ili kuhakikisha mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar anatangazwa na kuapishwa.
Hatua ya maandamano hayo yamekuja kutokana na hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kutangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo huku akitoa sababu tisa ikiwemo uchaguzi kutoka huru na haki.
Katika maandamano hayo hayo...
9 years ago
Habarileo23 Oct
Kikwete: Wazanzibari mchagueni Dk Shein
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Wazanzibari kumchagua Mgombea wa CCM nafasi ya Urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyeonesha uwezo mkubwa wa kuwaunganisha Wazanzibari kwa kuleta amani na utulivu.
11 years ago
Habarileo30 Jan
‘Wazanzibari acheni kuoneana haya’
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Abubakar Khamis Bakary amewataka Wazanzibari kuacha tabia ya kuoneana haya na kushindwa kutoa ushahidi wa kesi mbalimbali za vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo ubakaji, kwa kudai kuwa wanamuachia Mungu.