Muungano ulivyowavuruga Wazanzibari
Wiki hii Watanzania wameshuhudia matukio mengi bungeni. Moja ya matukio hayo ni vita ya maneno na tofauti za kisiasa kati ya CUF na CCM.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Oct
'Kuna Wazanzibari wanataka kuvunja Muungano'
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, ametoa ufafanuzi wa aina mbili ya Wazanzibari.
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Maalim Seif: Wazanzibari nichagueni mnufaike na Muungano
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Wazanzibari watishwa bungeni
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba waliotokana na kundi la 201, wameanza kupokea ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huo ambao MTANZANIA Jumapili iliupata, umeanza kusambazwa jana asubuhi kwa simu za mkononi na unawalenga wajumbe wa kundi hilo wanaotoka Zanzibar.
Unawataka wajumbe hao wasishiriki katika hatua ya kupiga kura ya kupitisha Rasimu ya Katiba inayotarajia kuanza Septemba 2 hadi Oktoba 4.
Ujumbe huo ambao haujajulikana ulianzia wapi na umesambazwa na kundi...
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Wazanzibari waandamana London
Na Mwandishi Wetu
WAZANZIBARI wanaoishi nchini Uingereza jana wamefanya maandamano kutaka nchi hiyo iingilie kati na kutoa shindikizo kwa Serikali ya Tanzania ili kuhakikisha mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar anatangazwa na kuapishwa.
Hatua ya maandamano hayo yamekuja kutokana na hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kutangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo huku akitoa sababu tisa ikiwemo uchaguzi kutoka huru na haki.
Katika maandamano hayo hayo...
11 years ago
Habarileo02 Jan
Dk Shein apongeza Wazanzibari
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewapongeza Wazanzibari kwa kuonesha umoja na mshikamano na uzalendo kwa kuweka pembeni tofauti zao za kisiasa.
11 years ago
Habarileo30 Jan
‘Wazanzibari acheni kuoneana haya’
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Abubakar Khamis Bakary amewataka Wazanzibari kuacha tabia ya kuoneana haya na kushindwa kutoa ushahidi wa kesi mbalimbali za vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo ubakaji, kwa kudai kuwa wanamuachia Mungu.
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Wazanzibari huku, Watanganyika kule
MWANZONI mwa mwezi uliopita niliulizwa swali nikiwa Kamachumu. Lilihusu mchakato wa katiba mpya na mkwamo wa sasa wa Bunge Maalumu la Katiba. Muuliza swali alitaka kujua hatima ya mnyukano huu...
11 years ago
Habarileo22 May
Wazanzibari nje waundiwa sera
SERA ya kuhudumia Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi, Diaspora imefikia katika hatua nzuri baada ya kuchangiwa na kupata maoni kutoka kwa wadau mbali mbali.