Wazanzibari nje waundiwa sera
SERA ya kuhudumia Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi, Diaspora imefikia katika hatua nzuri baada ya kuchangiwa na kupata maoni kutoka kwa wadau mbali mbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Mar
SMZ yaandaa sera ya diaspora kuvutia walio nje
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema tayari imeweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia Wazanzibari waliopo nje ya nchi kuwekeza Zanzibar na kusaidia katika miradi mbalimbali. Hayo yalisemwa na Mshauri wa Rais anayeshughulikia vitega uchumi na uwekezaji Balozi Mohamed Ramia wakati akifungua mkutano uliowashirikisha Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi.
10 years ago
Vijimambo06 Mar
Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Elimu n Mafunzo ya Mwaka 2014
11 years ago
Michuzi
KONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI WA SERA MPYA YA MAMBO YA NJE LAFANYIKA DAR ES SALAAM


11 years ago
Mwananchi07 Jun
Wizi Twiga Bancorp sasa waundiwa kamati ndogo
10 years ago
Habarileo16 Jun
Kikwete: Sera ya Nje Tanzania itabakia ile ile
RAIS Jakaya Kikwete amesema siasa za nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni haitabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani baadaye mwaka huu.
11 years ago
Habarileo02 Jan
Dk Shein apongeza Wazanzibari
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewapongeza Wazanzibari kwa kuonesha umoja na mshikamano na uzalendo kwa kuweka pembeni tofauti zao za kisiasa.
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Muungano ulivyowavuruga Wazanzibari
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Wazanzibari waandamana London
Na Mwandishi Wetu
WAZANZIBARI wanaoishi nchini Uingereza jana wamefanya maandamano kutaka nchi hiyo iingilie kati na kutoa shindikizo kwa Serikali ya Tanzania ili kuhakikisha mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar anatangazwa na kuapishwa.
Hatua ya maandamano hayo yamekuja kutokana na hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kutangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo huku akitoa sababu tisa ikiwemo uchaguzi kutoka huru na haki.
Katika maandamano hayo hayo...
11 years ago
Mtanzania21 Sep
Wazanzibari watishwa bungeni

Bunge
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba waliotokana na kundi la 201, wameanza kupokea ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huo ambao MTANZANIA Jumapili iliupata, umeanza kusambazwa jana asubuhi kwa simu za mkononi na unawalenga wajumbe wa kundi hilo wanaotoka Zanzibar.
Unawataka wajumbe hao wasishiriki katika hatua ya kupiga kura ya kupitisha Rasimu ya Katiba inayotarajia kuanza Septemba 2 hadi Oktoba 4.
Ujumbe huo ambao haujajulikana ulianzia wapi na umesambazwa na kundi...