Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mihadarati yaongeza uhalifu Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekiri kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu katika mji mdogo wa Mochuari kisiwani Pemba kutokana na kushamiri kwa matumizi ya mihadarati dawa za kulevya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Zanzibar yaongeza majimbo mapya 4

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza majina ya majimbo ya uchaguzi na mipaka huku ikiongeza idadi ya majimbo mapya manne.

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Jiografia ya Zanzibar kikwazo kupambana na mihadarati

>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema jiografia ya visiwa hivyo ni changamoto kubwa katika kudhibiti uingizaji na matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Habarileo

Zanzibar kutumia kamera kudhibiti uhalifu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaweka kamera katika maeneo mbalimbali Unguja na Pemba kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uhalifu.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waambiwa uhalifu Zanzibar umepungua

Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Pereira Ame SilimaMATUKIO ya uhalifu Zanzibar yamepungua kutoka matukio 10 kwa mwaka hadi kufikia matatu au manne kutokana na kudhibiti maeneo ya kuingilia wageni pamoja na kufanywa kwa operesheni mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Uhalifu huu unaiua Zanzibar kiuchumi

Tumesikitishwa na habari za kutokea kwa milipuko minne inayosadikiwa kuwa ni mabomu katika maeneo matatu tofauti visiwani Zanzibar juzi, ambapo watu wanne walijeruhiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Zanzibar kufunga CCTV kudhibiti uhalifu

 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepanga kufunga kamera za usalama (CCTV) katika maeneo mbalimbali ya kitalii visiwani hapa ikiwa ni moja ya jitihada za kupambana na uhalifu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake waathiriwa na mihadarati TZ

Imeelezwa kuwa utumiaji wa dawa hizo miongoni mwa wanawake ni changamoto kubwa katika jamii,visiwani Zanzibar

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania uchochoro wa mihadarati

Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika ambazo zimekuwa zikitumiwa na wahalifu wa kimataifa kupitisha dawa haramu za kulevya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jinamizi la mihadarati G Bissau makala ya(4)

Riwaya ya ulanguzi wa mihadarati na athari yake kwa kijana Buba.Ameuza teksi yake.Babake naye amemtimua nyumbani kwake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani