Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ford kuuza magari ya kusoma ishara

Kampuni ya magari ya Ford itaanza kuuza magari ambayo yatakuwa na uwezo wa kusoma ishara za barabarani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ford yaagiza magari milioni1 kurejeshwa

Zaidi ya Magari milioni moja nukta tatu ya Ford yanahitlafu ya usukani.

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?

Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Upendeleo ni ishara ya kutojali

Ajira za upendeleo huko Uhamiaji tumezisikia na uamuzi wa Serikali kuzifuta nao tumeusikia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,kiungulia ni ishara ya saratani?

Madaktari mjini Devon wanaunga mkono kampeni mpya inayowaagiza raia kuwatembelea madaktari wao iwapo wanahisi kuwa na kiungulia

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,busu ni ishara ya kuonyesha mahaba?

Utafiti mpya umegundua kwamba busu la mdomo kwa mdomo sio ishara kamili ya kuonyesha mapenzi, kinyume na dhana ya watu wengi

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Papa Francis amedokeza kwamba huenda akafuata nyayo za mtangulizi wake Papa Benedict kwa kujiuzulu.

 

11 years ago

Habarileo

'Migogoro Chadema ishara ya utawala mbovu'

MIGOGORO inayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imedaiwa kuwa ni ishara ya utawala mbovu, unaotokana na udikteta, udini na ukabila vinavyosababisha chama kukosa kuaminiwa na wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya waandaliwa tamasha la ishara, miujiza

SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden, kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Mkoa wa Mbeya, wameandaa tamasha la ishara na miujiza litakalofanyika kwenye Viwanja vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani